HSIRAJI
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 743
- 1,523
Kama kajipanga kima kazi na kiuchumi sio mbaya Sana maana kumudu gari zero km KWA watanzania wa kawaida ni shda Sana so anaweza akawa sawa pia kamagari ikiwa tu nzmaPambana aisee.,....maisha yetu wa TZ ni ya kuoena huruma tu,tulio wengi.....kuna jamaa yangu amenunua Rav 4 ya Mwaka 1998,km zaidi ya laki,gari ina miaka zaidi ya 23 toka iundwe anatamba sana mtaani,wafanyakazi wenzake wanampa hongera kwa hatua aliyofikia......sio jambo dogo kusema kweli......lakini gari ina miaka zaidi ya 20?,mtu anapongezwa baada ya kuhurumiwa?.....umasikini mbaya wandugu,unatufanya tupate "fake respect" kwenye jamii baada ya kuonewa huruma