Recent content by Patupu

  1. Patupu

    Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

    Kwanini kila mada mnaweka jazba na kutukanana wakuu hata hamjuani ?.?.?Mbona kuna nchi ni imara za kivita na zinafanyiwa ambush na wanakuwa affected na wala hawana chama cha CCM
  2. Patupu

    Kwanini Waarabu hawataki tuoe kwao?

    Mbona huku kwetu wapo waarabu wengi wakikirsto na wenyew hawataki tuwaoe,nafikiri liende kimlengo wa Utamaduni wao na Si kidini
  3. Patupu

    Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

    Mungu awasimamie wapambanaji wetu,kuilinda nchi yetu na mipaka yake
  4. Patupu

    Kinachoendelea hapa Dar es salaam sio mgao wa maji, ni kwamba Dawasa imeshakufa

    ni mkoa mpya huu mkuu.. Upo huko mbele ya chanikaa
  5. Patupu

    Naombeni msaada kuhusu changamoto hii ya kisimbuzi cha Azam

    Wakati unanunua uliwauliza kama signal ya azam inafika vema huko kibaha ?.maana vya antenn ninavyojua mimi si kila maeneo yana hyo signal
  6. Patupu

    Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

    wapate chochote kituu mkuu,. si unajua uchawa/kuuza utu ndo biashara inayolipa mjini
  7. Patupu

    EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

    Duuh mkuu utafanya tunyimwe lift wakistukia hii mbinu
  8. Patupu

    Genius Hayati Magufuli Hakuongeza Mshahara ila Maisha yaliendana na Kipato

    Ukweli ni kwamba watu wengi walimkubali JPM kwa uthubutu,lakin ndo hivyo ameshafariki ,hatuwez kupaki bus tukawa tunalialia lazima nchi iende .. tumempata mama twende nae nchi isonge mbele tujikwamue tulipo,Angekuwa hai tungesema baba rud uendeleze kijiti ,lakin ndo amefariki tuutumie mpini...
  9. Patupu

    Mustakabali wa Watoto wetu uko shakani

    what can we do bro. ?.ni kweli hi ni tatizo ,wengine wanahitaj angalau kujua tunatokaje ,Asante
  10. Patupu

    Epuka sana kukopesha mtu pesa

    lipa mkuu,embu tupe uzoefu kipind unapata hela alafu unatakiwa kulipa,huwa karoho gan huwa kanakujiaga [emoji28][emoji28]
  11. Patupu

    Mauaji Nigeria

    ukisoma huu uzi utagundua ni chuki kiasi gani watu wamemeza juu ya uislam,kuna wengine wamekuja kutoa povu huenda hata hawajapitia vizuri kinachoongelewa,jambo la kunote ni kwamba chuki haziwez mbadili yoyote kutoka dini yake aloielewa na akaiamin kikamilifu ,
  12. Patupu

    Chochote kizuri nikimhusisha mama kinakufa

    Sisemei mama yako anakufanyia mabaya ,ila hata kama anakufanyia mabaya inabd umuheshimu kwa kiwango cha juu sana.. hii ni amri ya Muumba wako
  13. Patupu

    EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Naona giant wote wamejikita kwenye biashara ya mafuta. Wacha tuendelee kuuza Sumu ya panya kwa kutembeza
  14. Patupu

    Nina marafiki wengi matajiri na viongozi wakubwa lakini hawana msaada kwangu, nafuta namba zao

    Mwenye hayo maduka ,muombe ukajiegeshe hata nje ya duka lake moja ujifunze biashara mkuu.. na kuvuta wateja wanaojin'gata n'gata kuingia
Back
Top Bottom