Recent content by Patrickbasil

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ajira ualimu awamu ya pili kutolewa tarehe 20

    Nimehitimu ualimu.....
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ajira ualimu awamu ya pili kutolewa tarehe 20

    Wakubwa habarin.....mimi nimehitimu chuo kikuu dar es salaam mwaka 2012 kisha nikagekia kwenye kufanya biashara kwa kipindi chote hicho....sasa nimejitathimini nakuona kuwa nahitaji kurudi kundini yaani kuwa mwalimu.....sasa ulizo langu kwenu ni hivi, nitawezaje kurudi kwenye ualimu???...na pia...
  3. P

    JamiiForums Tanzania CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

    acha ulimbukeni wewe....kusoma ndo kuongoza???wako wapi wale wasomi wezi kule bungeni?kule ccm???amka weee
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nina matumaini ya kurusha satellite yangu

    hayo ni mawazo hafifu ya mwalimu na ugumu wa maisha.......kazi TEMBO mshahara MBUZI.......kweli maisha haya mtajiua nyie kwa wingi wa mikopo.....
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nitamshangaa sana mwanachama yeyote wa CHADEMA atakayempinga Rais wa Burundi

    CHADEMA ndo baba lao na inawanyima usingizi kwelikweli
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    si watoto wa ESCROW hao....we unafikiri watakukumbuka vp wakati baba zao makada mwanzo mwsho????
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    mavado Tapeli nyieeee
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto alawitiwa ndani ya ofisi za CCM

    hii sasa kiboko......au ndo ushirikina wenyewe huo???kweli kwa stail hii mmeanza mapema hivyo .....bila shaka mtaingia IKULU..... TEAMUkawa
  9. P

    JamiiForums Tanzania Augustine Mrema: Tumemvua uanachama yule aliyetangaza mimi kutimuliwa TLP

    ....hii murema na tlp yake ni burudani kabsaaaa...basi kama umbwai mbwai tuuu,,-wamemwaga mboga basi murema mwaga ugali kabsaaaa... kubwa la maadui au nduli la ccm hilo
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mtarajiwa wa ACT. Morogoro mjini !

    yaan nyie UVCCM na ka-mke kenu hako ACT mna shida kweli.... kila kitu defence yenu BAVICHA anyway kadri ukisemavyo ndivyo hukiongezea umaarufu....viva BAVICHA,viva CHADEMA=UKAWA....
  11. P

    JamiiForums Tanzania kuizuia Katiba Inayopendekezwa isipite ni sawa na kuzuia Tsunami kwa kutumia mikono.

    Inayopendekezwa na nani wewe KUNGUNI....au na mke wako au familia yako....acha ubendera fuata upepo
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wakenya wavamia Tanzania

    Wewe akili mgando kweli....kenya unaifahamu vizuri kweli??? Ni bora ukataliwe waziwazi kuliko wanavyofanya hawa jamaa...yaani unazibwa pumzi na unakufa kimyakimya... #KilaMtuKwo ....
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA wana nia ya kwenda Ikulu kweli?

    Siasa si vita hata usimsaidie adui wako ajapo na shida.... Siasa ni upendo kujaliana kwa kila hali na pia siasa ni hoja tu hivyo sioni ubaya wa wewe mwanachama wa cdm kumpa maji mwenye kiu ccm....CHADEMA HOYEEEEE
  14. P

    JamiiForums Tanzania Albert Msando, Umesaliti ujana, elimu, utumishi na heshima

    Mshenzi sana huyu jamaa 「Albert msando」ni diwani wa kata yangu pale mabogini pili ni jirani yangu alikuwa ni roll model wa vijana wengi pale kijiji na alikuwa mstari wa mbele sana kutoa msaada wa hali na mali pale alipohitajika kufanya hivyo....hata alipotangaza azima yake ya...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sifa za mwanaume rijali, soma ili ujue upo kundi gani

    Kaka umeongea ndg yangu....chips mayai tena zisikauke sana,viroba mixer banana ndo habar ya mjini....umeenda saaaana 0-02minutes wazungu waleeeeeeee
Back
Top Bottom