Hiyo centripetal force nita-deal nayo baadaye ,mpaka nitakapo hakikisha prototype ya satellite yangu inafanya kazi. Kisha nitacalculate uzito(mass) ya hivyo satellite.. uzito huo ndio utanisaidia kucalculate data muhimu kama force hiyo.
F = ma
ambapo
F= force
m =mass
a = initial acceleration
........
Kucalculate force hiyo nitaandika programu ya android kwa kutumia c++(c++11) programming language
Program hii itakuwa ni CLI Ambayo itakuwa inaDump majibu kwenye File . mfano tuliite hilo file cforce.txt
interface ya Programu hii nitaiandika kama ifuatavyo
namespace ForceYaCentripetal{
class cForce{
double mass;
double acceleration;
filehandle file;
public:
cForce() = default;
explicit cForce(double m,double a):mass{m},acceleration{a}
double tafutaForce();
...
};
}
double forceYaCentripetal::cForce::tafutaForce(){
return mass*acceleration;
}
program hiyo ya android ya kucalculate force hyo .simple version nimeiandika kwa dakika tano , hii hapa