Sema nini ndg Yangu wala usipate shida wewe unaweza ona kijitonyama ni bora zaidi kwako ila wengine wanaona ununio ni bora zaidi kwao kwahyo tunatofautiana sana!
Me nakushauri usikalili maisha
Mkuu sidhani kama ni sawa hii!!
Ila kama uko tayari me nafikiri ndio maana nimejaribu kueleza hapo kuwa kwa Maelezo zaidi piga cm na ikiwezekana njoo uione na utakuwa huru kuuliza kila swali uonalo vyema kutaka kujua
Ipo ununio ya pili kutoka barabara ya ununio kwenda Boko, Nyumba zipo mbili kwenye Eneo moja na kila moja ina vyumba 2 vyote ni self, ina seble jiko na public toilet.
Kodi yake kwa mwezi ni sh 550,000/=
Kwa Maelezo zaidi wasiliana nami kwa 0756060183
Mkuu Mimi nauza kiwanja changu kipo bunju miazini mita 500 kuingia ndani njia ya dogodogo center kina ukubwa wa mita 20 kwa 40 na bei yake 17ml ila pia tunaweza kuzungumza kidogo
Na pia kingine kipo ukivuka daraja la mapinga 2km kuingia ndani kidgo maeneo ya kiaraka
Ukubwa mita 20 kwa mita...
Tunauza hii Nyumba Ipo kigamboni mtaa wa Tuangoma goroka njia panda ya Jeshi
Nyumba ni ya Ghorofa chini chumba kimoja self na Juu vyumba 3 vyote ni self nk
Ukubwa wa plot 1500sqm na bei yake 650,000/usd
Kwa Maelezo zaidi na ukihitaji kuja kuiona wasiliana nami kwa 0756060183
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.