mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Natafuta Kiwanja kuanzia Mbezi Tangi bovu mpaka Tegeta Barabara ya Bagamoyo pigs simu Na.0658334403 taja bei Na ukubwa.
Kuna kiwanja kipo mbweni malindi ukubwa ni 70 Kwa 50 Kiufupi ni viwanja viwili kwa kimoja na kimoja kati ya hivyo kina hati...Bei ni Milioni 250 Maongezi yapo ukiwa tayari ni PMNatafuta Kiwanja kuanzia Mbezi Tangi bovu mpaka Tegeta Barabara ya Bagamoyo pigs simu Na.0658334403 taja bei Na ukubwa.
Njoo boko upate kiwanja kizuri kimezunguushiwa fensi na mbele ya uwanja kuna frem ambazo hazijaisha ukinunua unapewa na frem zake barabara ni nzuri kama ya mwendo kasi uwanja una sqm 900 unauzwa 50 milioni. Ukishawishika # 0712464777Natafuta Kiwanja kuanzia Mbezi Tangi bovu mpaka Tegeta Barabara ya Bagamoyo pigs simu Na.0658334403 taja bei Na ukubwa.
Zipo heka 3 na bei yake 2m usd zimeface bagamoyo road