Natafuta kiwanja Tegeta, Goba, Bunju, Boko

Natafuta kiwanja Tegeta, Goba, Bunju, Boko

Mbezi juu ni kichuguu, kuna mchwa sana pia shida ya maji isiyo isha pamoja na wachawi wa kubinya maendeleo
kichuguu ndo nini acha ujinga mkuu watu wameishi mabondeni wewe unazungumzia kichuguu Wachawi kila sehemu wapo au nawe mchawi? maji ni dar yote DAWASCO WAMEAMKA BOMBA ZIPO KOTE MKUU NA RAMANI IMEPITA FULL MAJI
 
Toka wachina wachimbe mabomba huko mpaka leo maji ayajawahi kutoka. Mara mia uishi goba kuliko mbezi juu. Barabara hakuna hasa hii ya kupandishia goldstar kupitia kona bar. Pia watu wa hapo mbezi juu waswahili sana wapo kisharishari muda wote. pia maendeleo hamna
 
Ninacho Wazo kwa Makamba (Upana 20m*urefu 25m) Bei 18milioni.Vingine vipo Mpiji Darajani,Mapinga kuna cha sqm 1000(Bei 25 milioni) na kingine sqm 1965(Bei 65 milioni)huduma za maji na umeme zimepita karibu na viwanja vyote.Vyote umbali wa kilomita 1 kutoka Bagamoyo Road.Hakuna dalali mimi ni mmiliki na kuandikishana ni popote unapotaka.0754856277
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom