Naomba Tundu Lissu unijibu haya maswali...

MSHAURI_WA_NCHI

Senior Member
Nov 10, 2015
139
73
1. Tueleze ni nchi gani Duniani inaongozwa na kauli toka kwa watu wengi?

2. Ni nchi gani Duniani yenye Utama uni huu mpya wa kudharau mkuu wa nchi ukaachwa Bila adhabu?

My take: Hekima, busara na adabu kwa viongozi wako hate kama huwapendi ni jambo jema Sana.

Kwa mstaarabu.
 
Tueleze na wewe mamlaka ya kuuliza hayo maswali umeyapata wapi??
 
1. Tueleze ni nchi gani Duniani inaongozwa na kauli toka kwa watu wengi?

2. Ni nchi gani Duniani yenye Utama uni huu mpya wa kudharau mkuu wa nchi ukaachwa Bila adhabu?

My take: Hekima, busara na adabu kwa viongozi wako hate kama huwapendi ni jambo jema Sana.

Kwa mstaarabu.
Nchi nyingi Duniani zinaheshimu bunge,mahakama na kuweka kando polisi ,Obama amewahi kuwasihi wanasiasa Wa Republican na Democrat kuacha tofauti zao ili kujadili suala LA Bima ya Afya hakuwafukuza wabunge Wa upinzani japo alidominate Binge

2.hakuna anayetamani kumdharau mtawala,tukukumbushe tu kuwa,Clinton aliwahi kuambiwa" iwapo amediriki kusaliti ndoa yake kwa katibu Muhtasi Lowinsky hawezi kushindwa kuihadaa nchi" Rais Clinton hakuwakamata viongozi hao

Ninachoona huna reference nzuri malezi yako ndio yanakufanya utetee haya madhaifu
 
nawewe eleza ni nchi gani duniani mgombea urais alikuwa anapiga push up jukwaani??
 
Nchi nyingi Duniani zinaheshimu bunge,mahakama na kuweka kando polisi ,Obama amewahi kuwasihi wanasiasa Wa Republican na Democrat kuacha tofauti zao ili kujadili suala LA Bima ya Afya hakuwafukuza wabunge Wa upinzani japo alidominate Binge

2.hakuna anayetamani kumdharau mtawala,tukukumbushe tu kuwa,Clinton aliwahi kuambiwa" iwapo amediriki kusaliti ndoa yake kwa katibu Muhtasi Lowinsky hawezi kushindwa kuihadaa nchi" Rais Clinton hakuwakamata viongozi hao

Ninachoona huna reference nzuri malezi yako ndio yanakufanya utetee haya madhaifu
so kama clinton alitukanwa na ssi ruhsa kutukana... napata hofu kama we ni muumin wa din yoyote ile
 
Nchi nyingi Duniani zinaheshimu bunge,mahakama na kuweka kando polisi ,Obama amewahi kuwasihi wanasiasa Wa Republican na Democrat kuacha tofauti zao ili kujadili suala LA Bima ya Afya hakuwafukuza wabunge Wa upinzani japo alidominate Binge

2.hakuna anayetamani kumdharau mtawala,tukukumbushe tu kuwa,Clinton aliwahi kuambiwa" iwapo amediriki kusaliti ndoa yake kwa katibu Muhtasi Lowinsky hawezi kushindwa kuihadaa nchi" Rais Clinton hakuwakamata viongozi hao

Ninachoona huna reference nzuri malezi yako ndio yanakufanya utetee haya madhaifu
Kama hatakuelewa basi uwezo wake ni mdogo kupita maelezo.
 
Back
Top Bottom