Recent content by Pasco Bile

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kati ya umeme wa betri na umeme wa Tanesco upi ni hatari?

    Mkuu asante sana kwa somo hili tuliokimbia Physics kuanzia F2.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wimbo Kijiwe Nongwa wa ROSTAM na Nay wa mitego ni noma

    Kiswahili kigumu kuliko kiInglish
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi Kasulu, Kigoma leo

    Nipo hapa Ngara, Kagera limepiga muda huo alfajir ya Leo. Hakuna madhara
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mastaa wa soka kutoka ulaya Frenkie De Jong, Gonzalo Higuani na Moussa Sissoko watembelea mbuga ya Serengeti

    Na waje. Tanzania nchi ya amani na vivutio tosha Dunia.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kwenye kila shule kuna yule Mwalimu mnoko shuleni kwenu alikuwa anaitwa nani?

    Marahaba square1.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwenye kila shule kuna yule Mwalimu mnoko shuleni kwenu alikuwa anaitwa nani?

    Mwl Chuchuba, Kigoma sekondari 1970-80s
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mikoa Ya Mbeya, Songwe , Kagera, Kigoma Hawana Vitambulisho vya Taifa Na NIDA wapo tu ofisini.

    Au tuandamane ili Mkulu atumbue watu. NIDA ni jipu inafaa watumbuliwe tu
  8. P

    JamiiForums Tanzania TCRA: Tazameni radio Kwizera - Ngara

    Ni kweli mtoa mada ana lake jambo na Radio Kwizera- RK. TCRA wanakuja Ngara, wanaifahamu RK kitambo. Hiyo radio ni muhimu sana kanda ya ziwa, Tabora & Kigoma na nchi jirani (maziwa makuu: DRC, Burundi na Rwanda). Hayo matangazo ya bia yenye nembo ya Chui inamaana hajayaona kwenye Tv? Wewe kweli...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Rais hakupaswa kuongeza muda usajili wa alama za vidole

    Sasa wewe kwanini umtumie hela mtu usiyemfahamu, ni uzembe wa hali juu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Miaka ile ilikuwa kawaida kuvuta sigara bar, au kwenye mgahawa wa chakula

    Enzi zile tena ndani ya ATC na international airlines zote na private jets ilikuwa ruksa na bia kwa fujo Siku hiz njaa tu. Dar- Mwanza umepiga Safar za Arusha kama 3-4 ivi
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mita za Tanesco

    Hata mie hilo tatizo lipo. Umeme ukikatika afu ukirudi upo kwenye mita tu ndani ya nyumbani yangu haumo. Ukikatika ukarudi holaa, unawaka hadi ndani ya jumbani!!Tanesco Mungu anawaona shaur yenu
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini hairuhusiwi kupiga picha bwawa la Mtera?

    Naunga mkono hoja mkuu, niko Kasulu Kgm ninaangaalia miundombinu ya New York, Tokyo, London ...dunia nzima. Unaficha miundombinu ya Bongo!!! Labda hujui GIS, MapInfo, Google map/earth.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Tanzania kwenda Rwanda na Burundi ukoje?

    Kmf Rusumo-Kigali nauli RFrancs 3500 sawa na Tsh 10,000
  14. P

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Tanzania kwenda Rwanda na Burundi ukoje?

    Ngara - Dar kwa Trinity au Taqwa nauli elf 60. Ongeza nauli kidogo tu
  15. P

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Tanzania kwenda Rwanda na Burundi ukoje?

    Mabasi yapo Dar-Bujumbura (Taqwa) na Dar Kigali (Trinity). Unaondoka Ubungo SAA 12 asbhi unalala Kahama, kesho take SAA 5 asbhi uko border Rusumo au Kabanga/ Ngara
Back
Top Bottom