Wakuu
Lawama tunazowapelekea TRA tuwapelekee pia NIDA wamekwamisha biashara za watanzania kwa kiwango kikubwa sana na hii sio sawa kwani wafanyabiashara na watanzania kwa sasa huwezi kupata hati ya kusafiria bila kitambulisho cha taifa , wanafunzi wanaokwenda nje kwa masomo wanaaumbuka mno, wagonjwa wanaoenda kutibiwa nje nao hati za kusafiria imekua mtihani mkubwa sana.
NIDA Jirekebisheni mnarudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu.