Recent content by PASCHAL'S SON

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amerudi baada ya siku mbili baada ya kuondoka na mwanaume anayedai alikuwa mpenzi wake wa kwanza

    Mkuu. Pole sana kwa masaibu hayo. Kwa upande wangu ninaona huo ni mpango uliopangwa na dem pamoja na first love wake kwa lengo maalum Mpaka kufikia mwanamke anakusaliti it means hana upendo na wewe kutoka moyoni, umependwa kwa sababu nyingine mkuu Kingine anaweza kukutumia kama mwamvuli wakati...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aitaka serikali kufafanua juu ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu

    MI NAONA MAKA HUU WANAANZA NA FIRST YEAR KWA CHUO FLANI LAKINI SECOND NA THIRD YEAR HAWAJAPATA......................... NGOJA NIWEKE PLASTA KWA MDOMO WANGU NISIJEZUA MENGINE
  3. P

    JamiiForums Tanzania Je mahakama ya mwanzo wanaruhusiwa ku-certify vyeti

    Mie walinilamba 5,000 bila risiti nikakausha kuondoa usumbufu.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Heslb: tumaina makumira main campus: wanufaika wa mkopo mwaka wa pili 'bedmath', 'bedpe' na 'beece'

    Mhhh mi sikuoni wa ajabu sana, inawezekana kiwango chako cha kufikiri kimekomea hapo.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Heslb: tumaina makumira main campus: wanufaika wa mkopo mwaka wa pili 'bedmath', 'bedpe' na 'beece'

    NI LAW, BAED NA BED NDIO WAMEPATA. LAKINI BEDMATH, BEDPE NA BEECE BADO HAWAJAPATA
  6. P

    JamiiForums Tanzania Heslb: tumaina makumira main campus: wanufaika wa mkopo mwaka wa pili 'bedmath', 'bedpe' na 'beece'

    Sidhani kama uongozi ni tatizo kwani wanajali sana
  7. P

    JamiiForums Tanzania Heslb: tumaina makumira main campus: wanufaika wa mkopo mwaka wa pili 'bedmath', 'bedpe' na 'beece'

    Wanafunzi mwaka wa pili kozi tajwa hapo juu ambao ni wanufaika wa mkopo HESLB wameshindwa kupewa stahiki zao baada ya bodi kutuma majina bila allocation. Tunahitaji msaada wa mawazo tu jamani. BED, NA LAW WAMESHASAINI BUM TAYARI LAKINI MENGINE HAYAJATOKA JAPOKUWA KUNA HALI YA UVUMILIVU NA UTULIVU
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mume ahukumiwa miaka 60 jela kwa kosa la kumlawiti mkewe akiwa mjamzito

    HAKUNA STRONG REASON KTK HUKUMU KWANI YAWEZEKANA NI NJAMA ZA WANAAMILIA KUMWANGAMIZA BW MKUBWA, SUALA JINGINE NI KWAMBA FAMILIA HAIKUFIKIRI KABLA TA KUTENDA KWANI WANAFIKIRI MTOTO ATAKAYEZALIWA ATAPATAJE MAPENZI YA BABA YAKE, IMAGINE KWA BAHATI MBAYA MAMA YAKE AKIFARIKI, MTOTO HUYO ATALELEWA NA...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa jina la mwimbaji huyu wa zamani

    Jamaa aliimba hivi Juli mi nakonda kwa mawazo juu yako mama........ Ninakupenda penda.....Nijibu kama wanipeeeenda......
  10. P

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kuchelewa kwa pesa ya kujikimu vyuoni ni ipi?

    Kwa upande wangu ni faida, coz watalipa wiki moja kabla ya UE then tutakwenda home ilihali mifuko imetuna; tayari kwa kutimiza malengo yetu tuliyopanga. Hapa kazi tu.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Loan officers mlio vyuoni msiwanyanyase wateja wa NMB

    Kuna dhana ya upendeleo katika kugawa boom linapoingia chuoni. Wateja wengi wa NMB hatutendewi haki na loan officers. Ni jambo la kushangaza sana pale unaposign boom lako, ukathibitisha kwa macho yako kuwa pesa zinafanyiwa mchakato wa kutumwa kwa njia ya mtandao na loan officer kwenda bank...
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuwaite watoto wetu majina ya asili

    Sikubaliani hata kidogo juu ya suala hili. Majina ya ukoo huambatana na damu(mzimu) ya walokufa, ktk hili tunakuta mtoto anacopy vitu vyote (hasa tabia na mienendo ya mwenye jina) na kupaste nafsini mwake. Suala gumu linakaa ktk damu anayoirithi kama inajenga au inabomoa. Binafsi sipendi...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: (HESLB 25%) walioacha chuo na kujiunga na chuo kingine

    Wametoa! Mungu ni mwema.
Back
Top Bottom