Recent content by Paschalis

  1. P

    Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi

    Kama tuhuma dhidi ya Lowassa zilikuwa za kweli kwa nini aliendelea kuaminiwa na kupewa nafasi nyeti serikalini na bungeni? Mbona kashfa zinazotajwa kuhusu Magufuli hujazitaja (k.mf. mauzo ya nyumba za serikali, samaki wa bahari ya Hindi, vivuko vibovu n.k.). Ni vema ukaonyesha pande zote za...
  2. P

    Kutoka viwanja vya Barafu Dodoma kampeni za Urais kupitia UKAWA

    Uwe mkweli.. Ulikuwa ukitokea Iringa kuelekea Dodoma na ukapishana na basi kama tatu zikielekea Dodoma??? Mlipishanaje wakati nyote mlikuwa mnaenda Dodoma? Jamani mengine .....!
  3. P

    VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Hivi sheria ya mitandao inasemaje kuhusu huyu anae sambaza video hii inayoonekana ina harufu ya uchochezi? Naomba mnijuze.
  4. P

    Interrogating CHADEMA and UKAWA decision of accommodating Lowassa (Uchambuzi wa kina kuhusu uamuzi w

    Katika list of shame walikuwemo vizito wengi mbona hawasemwi? Mbona anasemwa mmoja tu. Nafikiri hamtutendei haki wanyonge. Tuambieni na hao wengine wamesafishwa lini? Na nani? Kama walisingiziwa kwa nini aliyewasingizia hakuchukuliwa na hajachukuliwa hatua hadi leo?
  5. P

    2015: UKAWA kuwapa Usukani waliokatwa CCM, imekaaje hii?

    Kuna waliokatwa kwa sababu za tuhuma mbalimbali lakini hawakuhama chama na wamo kwenye timu ya kumpigia kampeni mgombea urais wa chama. Hiyo imekaaje, mbone hakuna anaelisemea hilo?
  6. P

    Baada ya hotuba za Slaa na Lipumba: Napata hofu juu ya uwezo wa akili wa vijana wetu

    Tunaambiwa Lowasa ni fisadi lakini hatuambiwi ni kiasi gani cha fedha alichopewa ili kufanikisha njama za kulihujumu taifa. Pia dokta alisema kuwa alitoa masharti kuwa Lowasa ajiunge na CDM akiwa kama asset kwa kuhama na wabunge 50, wenyeviti wa CCM wa mikoa 22 na 88 wa wilaya sharti ambalo...
  7. P

    Slaa kuibuka Jangwani 90%, Kupanda jukwaa moja na Magufuli kummaliza Lowassa

    Hivi wale wote aliowataja kwenye "list of shame" pale Mwembeyanga wote wamehamia UKAWA? Mpaka sasa namfahamu mmoja tu na ndiye anae shambuliwa kutoka kila kona, waliobaki kule wamesafishwa na nani? Au ndo mzee mzima anaenda kuwasafisha na kumchafua zaidi yule aliyeondoka huko?
  8. P

    Wagombea na ahadi za kuondoa umaskini

    Wana JF Nimekuwa nafuatilia ahadi zinazotolewa na watia nia ya kugombea urais wa JMT. Karibu wote wanadai kuwa wakipewa ridhaa ya kuingia Ikulu watafuta umaskini kwa Watanzania wakati wa utawala wao. Wengine wanasema wataanzisha au/na watafufua viwanda. Hawajatuambia jinsi gani watahakikisha...
  9. P

    CCM huku ni kutangaza nia au kupigana vijembe?

    Kwa maoni yangu nafikiri hili ni jambo jema kwa sababu wote wamo ndani ya system, wanafanya kazi pamoja, kwa hiyo wanafahamiana vizuri zaidi kuliko sisi walalahoi tunavyowafahamu. Kwa kutueleza kuwa fulani yuko hivi na yule yuko vile itatusaidia kuwafahamu na mwisho wa siku itaturahisishia kutoa...
  10. P

    Elimu ya Bongo ni kizungumkuti

    Nafikiri tunajaribu kutafuta majawabu rahisi kwa maswali magumu. Hakuna dhamira ya dhati ya kutaka kuboresha elimu ya taifa letu. Watu tunashindwa kujiuliza kwa nini waliosoma zamani walikuwa bora zaidi. Watu waliomaliza darasa la nne walikuwa na bado ni bora kuliko wanaomaliza shule za msingi...
  11. P

    Prof. Muhongo kutangaza nia Juni 2 mjini Musoma

    Anatangaza nia kugombea urais kupitia chama gani?
  12. P

    Mjerumani amchambua Lowassa, awashangaa Watanzania

    Si kusahau tu, bali zaidi ni umbumbumbu wetu na wale wenye ufahamu kutoelimisha walio gizani na uvivu wa kufuatilia yanayojiri! Wengine kukubali na kupendelea bora liende. Wengine wanausemi "sina shida kwani nakula kwa mtu?"
  13. P

    Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

    Mleta mada umetaja miji ya Vwawa, Tunduma, Sumbawanga na Katavi. Katavi ni jina la mkoa hakuna mji unaoitwa Katavi. Katavi kuna Mpanda na Inyonga.
  14. P

    Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    crabat Hivi yule askofu mwenye mchepuko wake kule Arusha ambaye habarizake zimeandikwa sana humu ni wa RC? Hana mke? Je na wale walioruhusu ushoga hawana wake au wanakataliwa kuoa au ni tamaa zao tu zinazowasumbua? Kila mtu atachukua mzigo wake kufuatana na matendo yake.
Back
Top Bottom