Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi

KILA MTU ANAHAKI YA KUPIGA KURA APENDAVYO LAKINI HEBU TAFAKARI HAYA:

LOWASA

  1. Awamu ya Nyerere alikuwa na tuhuma za uwizi na kujilimbikizia mali za umma
  2. Awamu ya Mwinyi alikuwa na tuhuma za uwizi wa mali ya umma
  3. Awamu ya Mkapa alikuwa na tuhuma za wizi wa mali ya umma
  4. Awamu ya Kikwete alikuwa na tuhuma ya wizi na kutimia madaraka vibaya
Lakujiuliza jee akiwa Raisi wa Nchi na ana power ya juu kabisa nchini, kweli ataona aibu?????

MAGUFULI:

  1. Awamu ya nyerere alikuwa mwanafunzi katika malezi ya wazazi wake
  2. Awamu ya mwinyi ndio anainua kichwa kujitegemea
  3. Awamu ya Mkapa, ndio mwanzo anapewa majukumu, na anafanyakazi vizuri, anapata kashfa ya uuzaji wa nyumba za serekali.
  4. Awamu ya Kikwete wizara alizopewa zimefanya vizuri kushinda wengine.

Tafakari vizuri na kura yako isaidie kizazi cha leo na kesho.

Kila awamu ana tuhuma ya wizi. Lakini awamu ifuatayo anapanda cheo kufikia PM. Mara hii juu ya tuhuma zote hizo atakuwa raisi. It's called "destiny"
 
KILA MTU ANAHAKI YA KUPIGA KURA APENDAVYO LAKINI HEBU TAFAKARI HAYA:

LOWASA

  1. Awamu ya Nyerere alikuwa na tuhuma za uwizi na kujilimbikizia mali za umma
  2. Awamu ya Mwinyi alikuwa na tuhuma za uwizi wa mali ya umma
  3. Awamu ya Mkapa alikuwa na tuhuma za wizi wa mali ya umma
  4. Awamu ya Kikwete alikuwa na tuhuma ya wizi na kutimia madaraka vibaya
Lakujiuliza jee akiwa Raisi wa Nchi na ana power ya juu kabisa nchini, kweli ataona aibu?????

MAGUFULI:

  1. Awamu ya nyerere alikuwa mwanafunzi katika malezi ya wazazi wake
  2. Awamu ya mwinyi ndio anainua kichwa kujitegemea
  3. Awamu ya Mkapa, ndio mwanzo anapewa majukumu, na anafanyakazi vizuri, anapata kashfa ya uuzaji wa nyumba za serekali.
  4. Awamu ya Kikwete wizara alizopewa zimefanya vizuri kushinda wengine.

Tafakari vizuri na kura yako isaidie kizazi cha leo na kesho.

Na hapa ndipo Ccm mnapojimaliza wenyewe kwamba hamwezi kuongoza nchi tena. Hamwezi kuendesha serikali ya Watanzania.

MTU MWENYE KASHFA ZOTE HIZO ZA WIZI WA MALI Y AUMMA KWENYE AWAMU ZOTE, INAKUWAJE HIZO AWAMU ZOTE ATEULIWE KUWA WAZIRI?

NA KUBWA ZAIDI KUMFANYA WAZIRI MKUU KAMA HAKUWAFURAHISHA?

Kamwe hatutaongozwa na chama kinachozalisha, kulea na kufurahia mafisadi kiasi cha kuyafanya Waziri wakuu!

Tunachagua UKaWA, mchanganyiko wenye kuelewa ufirauni wenu ili tuwaadabishe na UKAWA yenye utaalamu, nia na uwezo wa kujenga Tananzania safi ya Watanzania.

Kwa heri serikali inayochagua mafisadi kuwa waziri wakuu!
 
Magufuli ni msanii,unaposema hajapata kashfa yoyote una uhakika au basi tu ushabiki? Kama haujui magufuli ana kesi nyingi za kujibu kwanza tu amelisababishia taifa hasara kwa kufanya mambo kipumbavu ,mambo hayo ni kuuza nyumba za serikali, upotevu wa bil 262 wizara ya ujenzi,penati ya bil 900 za wakandarasi,samaki na meli kulipa fidia kwa kushindwa kesi,kulipa gas station aliyoivunja mwanza,kavunja tbs ubungo Hilo ni moja ukinijibu haya nitaendelea na ya pili.
 
UKAWA walikua wanasubiri Magufuli amnadi Chenge ili waseme anaenda kinyume na anachosema, hajamnadi wanaponda inahitajika akili ya ziada kwa kweli kuwaelewa.
Imekula kwao.

Walikuwa wametega pua na masikio ili wapate hoja za kilaghai kwenye majukwaa yao.

Huyu ndiyo Magufuli
 
umefuatilia habari au ni hisia

kamnadi kuwa ni shujaa aliyeleta katiba mpya hilo je?hujasikia?

naomba tutumie tu uhalisia, ili kuondokana na aibu
Wewe unasubiri kusikia wakati unaowaambia walikuwepo kwenye mkutano.

Magufuli anaposema #HapaKaziTu , hii ndiyo maana yake.
 
Kwa taarifa ni kwamba MAGUFULI ni FISaDI mkubwa !!, taarifa ya CAG yaani mkaguzi mkuu wa serikali inamtaja moja kwa moja kuwa anahusika na wizi wa billioni 300 Kama malipo hew a ya ujenzi wa barabara ! Achilia mbali kugawa nyumba za serikali kwa ndugu na hawara zake, kuvunja ndoa ya mtu ingekua ulaya au marekani MAGUFULI hawed I hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Sisi watanzania sijui tumerogwa ! ! Lowasa amesingiziwa kashfa, hivi hatujiulizi, raisi na waziri mkuu Nani bosi ? Inawezekanaje waziri mkuu apitishe kitu bila raisi kujua ? Richmond ni Dili ya JK. Ndio maana Lowasa Hana muda wa kuilezea. Elimu kwanza watu wataelewa wanaelekea wapi. CCM imechoka, haiwezi kutufikisha kwenye maendeleo
 
KILA MTU ANAHAKI YA KUPIGA KURA APENDAVYO LAKINI HEBU TAFAKARI HAYA:

LOWASA

  1. Awamu ya Nyerere alikuwa na tuhuma za uwizi na kujilimbikizia mali za umma
  2. Awamu ya Mwinyi alikuwa na tuhuma za uwizi wa mali ya umma
  3. Awamu ya Mkapa alikuwa na tuhuma za wizi wa mali ya umma
  4. Awamu ya Kikwete alikuwa na tuhuma ya wizi na kutimia madaraka vibaya
Lakujiuliza jee akiwa Raisi wa Nchi na ana power ya juu kabisa nchini, kweli ataona aibu?????

MAGUFULI:

  1. Awamu ya nyerere alikuwa mwanafunzi katika malezi ya wazazi wake
  2. Awamu ya mwinyi ndio anainua kichwa kujitegemea
  3. Awamu ya Mkapa, ndio mwanzo anapewa majukumu, na anafanyakazi vizuri, anapata kashfa ya uuzaji wa nyumba za serekali.
  4. Awamu ya Kikwete wizara alizopewa zimefanya vizuri kushinda wengine.

Tafakari vizuri na kura yako isaidie kizazi cha leo na kesho.

Kama tuhuma dhidi ya Lowassa zilikuwa za kweli kwa nini aliendelea kuaminiwa na kupewa nafasi nyeti serikalini na bungeni? Mbona kashfa zinazotajwa kuhusu Magufuli hujazitaja (k.mf. mauzo ya nyumba za serikali, samaki wa bahari ya Hindi, vivuko vibovu n.k.). Ni vema ukaonyesha pande zote za shilingi.
 
Mmmmmmmmmmm hii forum imekuwa ya umbea sasa yaani mnabuni vitu na kuvileta humu. Kamnadi chenge na kumuita jembe wewe unaishi dunia ya wp. A
 
Back
Top Bottom