2015: UKAWA kuwapa Usukani waliokatwa CCM, imekaaje hii?

iArmaniAdamson

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
944
287
Hivi nyie UKAWA hamjielewi, mnapigana na CCM jina au CCM mfumo?

Kama kweli mnapigana na Mfumo wa CCM, kwanini mmewapa EL na FS usukani wa Meli yenu? Mnategemea mtafika kweli huko mnako kwenda?

UKIANGALIA ex-CCM members wote wamekuja kwasababu WALIKATALIWA ndani ya CCM kwa shutuma na tuhuma mbalimbali.

Sasa leo hii ninyi wenyewe mmewakumbatia, wamefika tu HAPO mkawapa na USUKANI wa Meli yenu.

Aisee mjue mmejiharibia sana, mtu yeyote anayekumbatia hawa jamaa waliohamia huko kutoka CCM na kusema "HAMNA LOLOTE LA KUPOTEZA INA MAANA YAKE KAMWE HAMKUWA NA LOLOTE".
 
Ukitaka kupambana na adui yako na kumshinda inatakiwa kwanza umjue vizuri, kwa mbinu hii UKAWA wamefanya la maana ndio maana tunawaona wasiotaka CCM itoke madarakani wameanza kuleta vikwazo na hawataweza kamwe
 
Kuna waliokatwa kwa sababu za tuhuma mbalimbali lakini hawakuhama chama na wamo kwenye timu ya kumpigia kampeni mgombea urais wa chama. Hiyo imekaaje, mbone hakuna anaelisemea hilo?
 
Hivi nyie UKAWA hamjielewi, mnapigana na CCM jina au CCM mfumo?

Kama kweli mnapigana na Mfumo wa CCM, kwanini mmewapa EL na FS usukani wa Meli yenu? Mnategemea mtafika kweli huko mnako kwenda?

UKIANGALIA ex-CCM members wote wamekuja kwasababu WALIKATALIWA ndani ya CCM kwa shutuma na tuhuma mbalimbali.

Sasa leo hii ninyi wenyewe mmewakumbatia, wamefika tu HAPO mkawapa na USUKANI wa Meli yenu.

Aisee mjue mmejiharibia sana, mtu yeyote anayekumbatia hawa jamaa waliohamia huko kutoka CCM na kusema "HAMNA LOLOTE LA KUPOTEZA INA MAANA YAKE KAMWE HAMKUWA NA LOLOTE".

Ina maana wakati umeamua kujiunga Jamii forum ulikuwa na ubongo wa kuku kiasi cha kushindwa kupata jibu la swali lako?
 
Hivi nyie UKAWA hamjielewi, mnapigana na CCM jina au CCM mfumo?

Kama kweli mnapigana na Mfumo wa CCM, kwanini mmewapa EL na FS usukani wa Meli yenu? Mnategemea mtafika kweli huko mnako kwenda?

UKIANGALIA ex-CCM members wote wamekuja kwasababu WALIKATALIWA ndani ya CCM kwa shutuma na tuhuma mbalimbali.

Sasa leo hii ninyi wenyewe mmewakumbatia, wamefika tu HAPO mkawapa na USUKANI wa Meli yenu.

Aisee mjue mmejiharibia sana, mtu yeyote anayekumbatia hawa jamaa waliohamia huko kutoka CCM na kusema "HAMNA LOLOTE LA KUPOTEZA INA MAANA YAKE KAMWE HAMKUWA NA LOLOTE".

Ina maana wakati umeamua kujiunga Jamii forum ulikuwa na ubongo wa kuku kiasi cha kushindwa kupata jibu la swali lako? Naamini sasa kwamba kweli watoto wa viongozi wa CCM wanaishi Uingeleza na kuacha watoto wenye IQ kubwa wakisota Tanzania.
 
Mambo yaleyele,jenga utaratibu wa kuwa unapitia humu JF ukipata nafasi,mambo haya yashajadiliwa sana!Mnakera sasa!
Mfumo wa vyama vingi ulianza 1995,wananchi wote kabla ya hapo either walikuwa ccm au walikuwa kimya kufuata mfumo!
Baada ya vyama vingi ndio kila mtu anaangalia chama kinachomfaa!Kila mtu ana muda wake wa kuamua ni wapi aende!
Kwani mtu akitoka ccm anakuwa sio mtanzania?Mfumo maana yake ni chama cha ccm na miziz yake!
Ccm ife na ipishe wengine wajaribu kuleta mabadiliko!Mtuelewe,hatuitaki ccm!
 
kwikwikwiiiiiiii
 
Sera ya upinzani ya kupambana na ufisadi ndio imezikwa au imebakia ACT, na TLP
 
jembe halichagui mkulima.Chagua mabadiliko wewe pamoja na jirani yako ili mfaidi matunda ya kuzaliwa Tanzania
 
Ina maana wakati umeamua kujiunga Jamii forum ulikuwa na ubongo wa kuku kiasi cha kushindwa kupata jibu la swali lako? Naamini sasa kwamba kweli watoto wa viongozi wa CCM wanaishi Uingeleza na kuacha watoto wenye IQ kubwa wakisota Tanzania.

IQ sio kipimo cha utu. na HAUNA VYOTE VIWILI.
 
Mambo yaleyele,jenga utaratibu wa kuwa unapitia humu JF ukipata nafasi,mambo haya yashajadiliwa sana!Mnakera sasa!
Mfumo wa vyama vingi ulianza 1995,wananchi wote kabla ya hapo either walikuwa ccm au walikuwa kimya kufuata mfumo!
Baada ya vyama vingi ndio kila mtu anaangalia chama kinachomfaa!Kila mtu ana muda wake wa kuamua ni wapi aende!
Kwani mtu akitoka ccm anakuwa sio mtanzania?Mfumo maana yake ni chama cha ccm na miziz yake!
Ccm ife na ipishe wengine wajaribu kuleta mabadiliko!Mtuelewe,hatuitaki ccm!

historia fupi:
mfumo wa vyama vingi ulianza 1992, mwaka 1995 ulikuwa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom