Recent content by Paschal_psc

  1. Paschal_psc

    SUMATRA: Marufuku abiria kuzungumza siasa, dini, biashara ndani ya basi!

    Du hiyo hatari itakua wanataka tuzungumzie mapenzi tu
  2. Paschal_psc

    Mbowe anapoitangazia Dunia kuwa Tanzania si mahali Salama ana maana gani?

    Uoni kinachotokea Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Paschal_psc

    Usajili ligi kuu vodacom

    Nyie endeleeni kuchukua wachezaji wa mbao tena wa kukaa benchi mutegemee ubingwa mtazidi kusema hivyo hivyo tumelikosa kidogo tu
  4. Paschal_psc

    Kwanini mnyama nguruwe anasemwa vibaya, katukosea nini sisi binadamu?

    Sisi uku kwetu tunampenda sana sana tena mpaka miji ya jiran mtaa wetu wanauita mahakama ya nguruwe afu nguruwe anakufanya uwe na nguvu na mwili wenye afya
  5. Paschal_psc

    Uwiano wa wanunua sanaa ikiwa kwenye CD na wanaonyonya kwenye internet

    Kwa bongo movie wamepoteana ata wauze CD zao buku bado watakalishwa coz wanachofanya utumbo tupu kwangu labda za akina majuto Ringo tin Hao kidogo wanaeleweka zaidi nawakubali akina zhuezeng Lee gangmo jixhua namaanisha season ata buku 5 wauze mtanunua sio bongo movie na ningepewa uwaziri...
  6. Paschal_psc

    Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    Apo bashite kapata tena zero hawa bongo movie wamepoteana sana Yaani ukiangalia movie zao afu tafuta za wanaijeria wao wanatubadilishia lugha tu kila kitu copy tu na mazingira yao mabovu afu ndio tununue buku 5 na walichokifanya ujinga tupu afu film mzima imeigizwa na watu 4 tu afu aina...
  7. Paschal_psc

    Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Kwan siku hizi dini ndio zimekua chombo cha kukosoa serikali au nyie ndio mlitegemea sisi wakatoliki tuwatetee wakati sio kazi katoliki Kama hali ngumu ya maisha wote tunaishi hivyo hivyo kwa hiyo usitegemee kutetewa na mwenzio Kwan nyie mlishawai kuandika waraka mkaupeleka au ukujui kwa...
  8. Paschal_psc

    Sinzonje ya mrisho mpoto

    Jamani huu wimbo nimeukubali sana ila mwenye kuuelewa vizuri Naomba kujua nn anamaanisha coz nimeupenda bila kuulewa
  9. Paschal_psc

    Tafsiri ya Sizonje - Wimbo wa Mrisho Mpoto

    Jamani huu wimbo nimeukubali sana ila mwenye kuuelewa vizuri Naomba kujua nn anamaanisha coz nimeupenda bila kuulewa
  10. Paschal_psc

    Ni nani analitambulisha taifa kwa kasi zaidi kati ya Samatta, Alikiba na Diamond

    Diamond yupo juu samata yy zaidi Belgium ata ukienda kenya tu apo awamjui ila taja diamond aka simbaa ata dem utapata bila ata kutongoza
  11. Paschal_psc

    Wanaume wa JF katika tuhuma nzito ya kukimbia bili za bar

    Pesa zipo ila sio za matumizi ya hovyo kiasi hicho usawa huu wa magu jamaa akafikiria akakumbuka akajiuliza ina [emoji342] ndani akaona chenga
  12. Paschal_psc

    Wanaume wa JF katika tuhuma nzito ya kukimbia bili za bar

    We unafikiri angekulipia bili hiyo ungeachwa hivihivi ata kama mpo tim mzima lazima ungepigwa nyingi Ata hivyo ujamalizia nan alikutoa police inaonekana meneja alikufuga ukawa Kama mkewe mpaka den likaisha
  13. Paschal_psc

    Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

    Kama walishindwa kuufungia ule pale Kati patam ambao ulikua na sifa zote za kuufungia huu unastaili uendelee kupigwa Kwan ngoma tam sana afu Imetoka kipindi kizuri yaani huyu atakua super sub
  14. Paschal_psc

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Apo ametishia tu ila kufatilia awezi na akuna kipya kitachotokea apo ndio limeshaisha
Back
Top Bottom