Recent content by Pascal500cc

  1. Pascal500cc

    JamiiForums Tanzania KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

    Yaan ukija hapa kwa daladala za KIGAMBONI ni kero kubwa sana.. unakuta gari inatakiwa kushusha ipakie kuelekea MKURANGA au VIKINDU... au TUANGOMA.. wanakata route.. wanaishia KIBADA... aafu wanarudi tena Ferry... Kwa ule ukweli wanatutesa sana
  2. Pascal500cc

    JamiiForums Tanzania Mishahara

    HIVI NI SABABU zipi zimepelekea kuchelewa kwa mishahara ktk hizi HALMASHAURI?... nasikia vimaneno ooh CRDB ndo wamechukua Dhamana ya kuandaa pesa toka hazina afu ndo ziende NMB... sasa wameboresha au ndo wanaharibu?
  3. Pascal500cc

    JamiiForums Tanzania Issue ya Kikwete, Kagame, Rwanda na Tanzania: Ushauri wangu

    kila mtu akae kivyake... kwani wote hawaheshimian
  4. Pascal500cc

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Bingwa wa Dunia

    Hongera kijana
  5. Pascal500cc

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Rwanda imemtaja Kagame in Person na kuwatuhumu FDLR

    Yetu ya tanzania yametushinda..... Kwani tabia ya kagame ni akheri mara mia anawanufaisha wa nchi yake hadi primary school wanagawiwa laptop za kujifunzia... Kuliko ss tanzania utajiri humo mikononi mwa wachache huku wananchi wake ni maskin wa elimu hadi kimaisha..
  6. Pascal500cc

    JamiiForums Tanzania Kwenye Katiba Mpya Wapinzani Mmetuangusha Taifa! Hamna Hoja!!

    No wanaokurupuka name hii imetokana name wao kutokuwa name umoja kwa maslahi ya jamii ya Tanzania
  7. Pascal500cc

    JamiiForums Tanzania IRIS series season 3 na 4 zimetoka?

    Iris ni ndo nn
  8. Pascal500cc

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hali Ilivyokuwa ktk Mkutano wa CHADEMA wa Tar 27 Julai 2013 - Tabora

    Napenda tuoneshe mshikamano mpaka siku ya mwisho jaman
Back
Top Bottom