IRIS series season 3 na 4 zimetoka?

IRIS series season 3 na 4 zimetoka?

yah,,...imetoka season 3 na 4 but actors ni tofauti,,...wala si nzuri kama ilivyo 1 na 2:smile-big:

[BLUE]Kweli mkubwa hizi mbili za sasa sio kali kama zile za awali[/BLUE]
 
hii kitu haina English version? maana kucheck action na hapo hapo kusoma subtitle ni kazi sana kwangu.
 
Wapelekee Buku 5 machinga wa Congo kama upo Dar....hata mimi ya kupakuwa niliona inazingua, nikaenda kuwapa chao....burudaaaaani!

mkuu nshaipakua mtandaoni zamaaaaaani sana sasa hivi namalizia season 4 nianze............
 
IRIS ni safi ila a man called god duuhhh c kitaniiii itafteni ukianza kucheki hutafanya kazi km ni ofcn kama ni home hutoiki wenye waume vicheche wanunulieni hii muone kama watatoka
 
ni iris part 2 amabyo ipo season ya kwanza na ya pili na mastaaa waliojirudia ni 3 tu and nayo ni nzur kias, na star mkuuu ni mpya ambaye ni mtoto wa bak san aliyemuuza kim hyun

mkuu baek san kaweka conspiracy moja hatari sana humu da yaani hadi season 4 inaisha cjaamini amini vile bado aisee.....nahisi wangetoa season 5 tumalizie uhonfo aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom