Recent content by Paramagamba

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nandy anazidi kupotea

    Na wewe tafuta vya kwako sio kusifia tu WCB kila kukicha mnatuudhi sana.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Huko nje Watanzania tunadhauraulika sana siku hizi

    Tunadhalaulika kwa kuingia UCHUMI WA KATI sio? Kuna mamutu humu masenge kweli. Kwahiyo tungekufungia ndani kwa LOCKDOWN ndiyo ungeonekana wa maana sana huko mataifani? Manyok sana wewe.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kufunga CCTV Camera

    Piga hiyo namba utaelekezwa vizuri. 0686304273
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tuache utani, tunataka chanjo ya COVID-19!

    Wewe ni mupumbavu sana. Elimu ya mzungu imekufubaza ubongo. Nyie ndiyo watu tegemezi ambao hamtakuja kujitigemea kamwe bila mzungu. Nyie ndiyo virusi katika bala la Afrika.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tuache utani, tunataka chanjo ya COVID-19!

    Dawa za korona ambazo zimefanyiwa utafiti na kuthibitishwa na mkemia mkuu wa serikali ni BUPIJI, COVIDOL, PLANET++, FUKIZA UDANOL na nyingine nyingi zote kutoka Tanzania. Wewe unazungumzia dawa gani nyingine ya corona iliyopatikana huko mataifa?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha Covid-19 cha haja kubwa: Japani yaitaka China kuacha kukitumia kwa raia wake

    Hiyo ni njia moja China anaitumia kupinga hii corona ya kutengenezwa maabara. Si wanataka sana watu wapige corona basi nendeni sasa mkapime china.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mjue Rais wa Ethiopia Sahle-Work Zewde atakayeitembea Tanzania 25 January 2020

    Hakuna udhaifu katika kutengua. Usipotekeleza majukumu yako kama kiongozi utatenguliwa tu na wengine watachukua nafasi yako. Tanzania ina watu millioni 66 ikibidi kila mtu ataongoza tu tutabadilishana uongozi mpaka kieleweke.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Niking'atwa na nyoka usiku nifanye nini?

    Kwamba kila siku mzee?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Niking'atwa na nyoka usiku nifanye nini?

    Sijakuelewa vizuri mzee
  10. P

    JamiiForums Tanzania Niking'atwa na nyoka usiku nifanye nini?

    Kuna siku yatakufika ndugu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Upinzani hauuliwi kwa mabavu, udikteta, vitisho na ukatili, ukitaka kuua upinzani mpe Hussein Mwinyi nchi aufute upinzani

    Upinzani Tanzania umejifia kutokana na: 1. Elimu bure msingi mpaka sekondari 2. Umeme kila kijiji 3. Vituo vya afya kila kijiji 4. Miradi ya maji kila mahali 5. Kukomesha wizi na ufisadi 6. Vita dhidi ya rushwa 7. Nidhamu utumishi wa umma 8. Wanyonge kwanza 9. Kufufua huduma za reli 10. Ujenzi...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Niking'atwa na nyoka usiku nifanye nini?

    Ushauri wako ni upi tofauti na jiwe?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Niking'atwa na nyoka usiku nifanye nini?

    Usijidanganye koboko akikurukia sio lazima awe ametokea juu ya mti. Anaweza kukurukia kwa kutokea chini akapiga mgongo wako.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Niking'atwa na nyoka usiku nifanye nini?

    Unapatikana wapi huu unga?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Niking'atwa na nyoka usiku nifanye nini?

    Sokoni hayapatikani mkuu? Una namba ya whatsapp au website ya muuzaji wa hayo mawe mkuu?
Back
Top Bottom