Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,989
- 3,692
Due to my time confusion nothing to recommend by now
Mpigie paramagamba kabudi.Mwaka kesho natimiza umri wa miaka 40 na kama bajungu basemavyo kwamba Life begins at 40 kwa hiyo ninampango wa kuhamia na kwenda kuishi kijijini mbali kabisa nimeishaanza kujenga jumba langu la kifahari palace ndogo yani msoga of my own making hekalu kwa namna nyingine.
Sasa huko ninapotarajia kuhamia ni porini sana na inasemekana koboko wapo.
Nimeona ni vema kuja kuchukua maarifa kwenu wandugu nikipatwa na dharula kama hiyo ya kung'atwa na nyoka hasa usiku nijiokoe vipi?
Kuna feki na original... Haya mawe ukipata lenyewe hasa nyoka akikuuma fasta lichukue na kuliweka pale ulipoumwa na litang'ang'ania pale na kufyonza sumu yote na ikiisha litaanguka chini. Tabora huko ndiyo unaweza agiza ukapata la ukweli.Yanauzwa wapi na Je ni kweli linafanya kazi vizuri au ni uzushi tu stori za kuwaondolea hofu watoto waende shambani wakalime?
mwandishi ni yule yule Nyambari Nyangwine au mwingine ?Tafuta kitabu cha Form 1 Biology kuna topic ya First Aid. Inaeeza kua muhimu kwako
Hizi mbegu zinapatikna hapa nyumbani I mean nchini?Tafuta mbegu ya bitter cola..twanga unga wake mwagia uwanjani kwako..hagusi nyoka
Mtoe wako atemee mate pale ulipo ngatwa pia Kunywa na mate yakeMwaka kesho natimiza umri wa miaka 40 na kama bajungu basemavyo kwamba Life begins at 40 kwa hiyo ninampango wa kuhamia na kwenda kuishi kijijini mbali kabisa nimeishaanza kujenga jumba langu la kifahari palace ndogo yani msoga of my own making hekalu kwa namna nyingine.
Sasa huko ninapotarajia kuhamia ni porini sana na inasemekana koboko wapo.
Nimeona ni vema kuja kuchukua maarifa kwenu wandugu nikipatwa na dharula kama hiyo ya kung'atwa na nyoka hasa usiku nijiokoe vipi?
uyo jamaa ana matege mabayaKama nyoka wenyewe ni koboko,kinga ni bora kuliko tiba.
Nunua helmet uwe unashinda nayo ukiwa masikani,wale jamaa hupendelea kugonga utosi/kichwa zaidi.
Halafu tafuta na hili buti chini kwa ajili ya wenginao.
Ukingatwa na nyoka usiku inatakiwa ulale mpake asubuhi ndipo uendeleze mishe zakoMwaka kesho natimiza umri wa miaka 40 na kama bajungu basemavyo kwamba Life begins at 40 kwa hiyo ninampango wa kuhamia na kwenda kuishi kijijini mbali kabisa nimeishaanza kujenga jumba langu la kifahari palace ndogo yani msoga of my own making hekalu kwa namna nyingine.
Sasa huko ninapotarajia kuhamia ni porini sana na inasemekana koboko wapo.
Nimeona ni vema kuja kuchukua maarifa kwenu wandugu nikipatwa na dharula kama hiyo ya kung'atwa na nyoka hasa usiku nijiokoe vipi?
Kuna siku yatakufika nduguUkingatwa na nyoka usiku inatakiwa ulale mpake asubuhi ndipo uendeleze mishe zako
Sijakuelewa vizuri mzeeMtoe wako atemee mate pale ulipo ngatwa pia Kunywa na mate yake
Kwamba kila siku mzee?Uwe unachoma kipande cha tairi la gari kila siku jioni. Nyoka hawapendi harufu ya tairi linaloungua.
Tumia vizuia nyoka na vifukuza nyoka nyumbani au mashambani.Kwamba kila siku mzee?