Recent content by paradiso

  1. paradiso

    JamiiForums Tanzania Kinana using'atuke kabla ya kujibu haya

    Tunataka meno yetu ya tembo huyo anatakiwa akijiuzulu anyongwe
  2. paradiso

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM kumuunga mkono Magufuli

    Kweli mpaka umepata mvii bado hujielewi mapinduzi hujafanya wadanganye familia yako mzee mwenye mvii
  3. paradiso

    JamiiForums Tanzania RC Makonda yuko Clouds FM, akanusha kutoa kauli ya kuwasaka wasio na kazi maalum nyumba kwa nyumba

    Mtu uongee mwenyewe alafu unakuja kukana kweli huko ndo kumbwelambwela
  4. paradiso

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

    Nnchi yetu haiwezi kuwa na maendeleo mpaka watu wapunguze majidai makyembe alivyokuwa kwenye ziara marekani kweli msomi anaweza kuongea kuikandamiza zanzibar,elimu yake ni yanini
  5. paradiso

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli awasili mkoani Dodoma

    Ni uoga kuskia lowasa yupo dodoma
  6. paradiso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fumanizi hili Guest house Iringa

    hapa sheria ya kitandani ni kumtandika tu na ukimfikisha nyumbani unachukua sheria kiunoni alafu unamfungashia akwende kwao.
  7. paradiso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fumanizi hili Guest house Iringa

    piga kabisa kenge uyo. Heaven on earth you the next
  8. paradiso

    JamiiForums Tanzania Shocking: Al-Shabaab

    mwenye hii picha alijitokeza hadharani wala sio samatha watu walimfananisha tu.
  9. paradiso

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika Jimbo la Chwaka wilaya ya kati Unguja

    huyu muuza madawa ya kulevya amepata wapi uhalali wa kuongea na raiya??
  10. paradiso

    JamiiForums Tanzania Habari ya mtambuzi katika gazeti la raia mwema

    kudos Mtambuzi
  11. paradiso

    JamiiForums Tanzania Msekwa: Nashangazwa na muungano wa Mbowe, Lipumba na Mbatia!

    huyu mzee aendelee kulala sisi tupo busy na ujenzi wa taifa. amefilisika kimawazo.
  12. paradiso

    JamiiForums Tanzania CHIKAWE: Katiba haitungwi Jangwani au Kibandamaiti

    Chikawe amelewa madaraka ila soon hataamini kitakachojiri.
  13. paradiso

    JamiiForums Tanzania Picha: Mke na Mume Wafungwa Kesi ya EPA Leo...

    hawa ni dagaa, where are the big fishes??
  14. paradiso

    JamiiForums Tanzania Video: Mbinu chafu za uongozi wa CCM Iringa dhidi ya Msigwa

    unajitekenya na kucheka mwenyewe.
  15. paradiso

    JamiiForums Tanzania Video: Mbinu chafu za uongozi wa CCM Iringa dhidi ya Msigwa

    CCM wanaruka sarakasi wakiwa na taulo kiunoni. cc to Nape Nnauye
Back
Top Bottom