Habari ya mtambuzi katika gazeti la raia mwema

Lyandembela1

JF-Expert Member
May 10, 2013
277
112
Heshima mbele wakuu,

Mdau Mtambuzi akiwa safarini Rwanda na Congo (DRC) alituletea yaliyojili huko.

Sasa ninaona kile alichotueleza ndicho kilichomo katika gazeti la Raia Mwema,Toleo la 317 la tarehe Septemba 25,2013 Mwandishi akiwa Shabani Kaluse.

Safari yangu mjini Goma, utanashati kipaumbele kwa vijana
- See more at: Raia Mwema - Safari yangu mjini Goma, utanashati kipaumbele kwa vijana

Ni yeye Mtambuzi au huyu shabani Kaluse ni mtu mwingine.



Lyandembela 1 nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Akiwa JF ni Mtambuzi na akiwa RaiaMwema ni Shabani Kaluse
CC Pasco wa JF
 
Nimesoma Raia mwema nami inabidi Raiamwema itambue source,sababu habari ilianzia JF
 
hebu Mtambuzi uje ututoe huu utratraa..........nini kinaendelea hapa..........
 
Last edited by a moderator:
Hakuna tatizo lolote kama Mtambuzi atakuwa ametoa ruhusa habari yake itumike.
 
Last edited by a moderator:
safari yote hiyo ya bure, kweli hatuna waandishi wazuri wa investigative stories, unasoma huvutiwi nayo...nini sasa hii
 
ameruhusu/ni yeye mwenyewe/imeibwa?? Mtambuzi njoo ufunguke
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom