Picha: Mke na Mume Wafungwa Kesi ya EPA Leo...

Picha: Mke na Mume Wafungwa Kesi ya EPA Leo...

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803

WATUHUMIWA watatu kati ya watano waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa fedha kwenye Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wamehukumiwa kifungo jela baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwatia hatiani ambapo kati yao ni mke na mume.

Mke na mue hao ni Manase Makale aliyetupwa jela miaka 5 na mkewe Eddah Makale aliyetupa jela miezi 18 sawa na mwaka mmoja na nusu Pamoja na Bahati Mahenge, aliyehukumiwa kifungo cha Miaka 7 lupango.

Mbali na hukumu hiyo washitakiwa hao waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya wizi wa Sh1.86 bilioni za EPA, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kupitia Kampuni ya Changanyikeni Residential Complex wametakiwa kulipa fedha kiasi cha Sh 1.5 Bilioni.

Washitakiwa wawili wameachiwa huru na Mahakama hiyo baada ya Mahakama kushindwa kuwatia hatiani.

source; father kidevu blog

Case of Bank of Tanzania (BoT) External Payment Arrears (EPA)

[TABLE="class: full, width: 288"]
[TR]
[TD]Allegedly Involved:[/TD]
[TD]US$ 131 million[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Frozen So Far:[/TD]
[TD]-[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Traced So Far:[/TD]
[TD]-[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Recovered:[/TD]
[TD]US$ 63,000,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Origin:[/TD]
[TD]United Rep. of Tanzania[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Case info

Countries Involved

The following countries are linked to this case:

Visit the country profile of these countries:United Arab Emirates, Switzerland, United Rep. of Tanzania.

Mpaka watakapoifikisha KAGODA na CCM mahakamani ndipo nitaona haki inatendeka maana hao ndio walianza kuchota fedha ndipo wengine wakaiga
 
mbona kifungo kidogo kama wameiba kuku,yapaswa kufilisiwa na mali zao zote.
 
udhaifu mwingine wa mahakama zetu na sheria zetu zinaendelea tu mtu hame ujumu uchumi kiasi kikubwa anaukumiwa sawa na mtu alie hiba kuku akuna ratio hapa
 
Yani Mtu kapiga 1.86 Bil. Miaka karibia kumi iliyopita, Leo ana ambiwa arudishe 1.5 Bil.

Sasa hii RIBA ya stahili gani? Badala ya kuongezeka yenyewe inapungua?
 
duh Manase na mkewe hawa jamaa walipiga mpunga mrefu san yan hata faini hawalp?
 
WATUHUMIWA watatu kati ya watano waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa fedha kwenye Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wamehukumiwa kifungo jela baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwatia hatiani ambapo kati yao ni mke na mume.

Mke na mue hao ni Manase Makale aliyetupwa jela miaka 5 na mkewe Eddah Makale aliyetupa jela miezi 18 sawa na mwaka mmoja na nusu Pamoja na Bahati Mahenge, aliyehukumiwa kifungo cha Miaka 7 lupango.

Mbali na hukumu hiyo washitakiwa hao waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya wizi wa Sh1.86 bilioni za EPA, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kupitia Kampuni ya Changanyikeni Residential Complex wametakiwa kulipa fedha kiasi cha Sh 1.5 Bilioni.

Washitakiwa wawili wameachiwa huru na Mahakama hiyo baada ya Mahakama kushindwa kuwatia hatiani.

source; father kidevu blog

Case of Bank of Tanzania (BoT) External Payment Arrears (EPA)

[TABLE="class: full, width: 288"]
[TR]
[TD]Allegedly Involved:
[/TD]
[TD]US$ 131 million
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Frozen So Far:
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Traced So Far:
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Recovered:
[/TD]
[TD]US$ 63,000,000
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Origin:
[/TD]
[TD]United Rep. of Tanzania
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Case info

Countries Involved

The following countries are linked to this case:

Visit the country profile of these countries:United Arab Emirates, Switzerland, United Rep. of Tanzania.

Duh..! hakuna rufani kwa hawa vidagaa wa epa? Mi mpaka nione mapapa wa epa kama kagoda wako jela kunyea ndoo ndio ntaamini kweli jk hakua anatania kuhusu ufisadi wa epa.
 
Hii hukumu ya kipuuzi kabisa haiwezekani watu wamekwapua kiasi kikubwa cha pesa kama hicho wanapewa hukumu za wizi wa kuku.

Watu wameiba Sh1.86 billion kisha wanalipa Sh1.5 billion.

Pesa zilizobakia zimekwenda wap!
 
Wametolewa kafara hao vidagaa. Mapapa yanapeta tu.
 
Eppa ni ccm ndo waizi na hao wametolewa kama kafara tu.
 
Changa la macho! Hebu tazama watu wenyewe walivyojawa tabasamu la mshangao feki!! Baada ya hapo wanatoroshwa kwenda kuishi South Africa..
 
Hii hukumu ya kipuuzi kabisa haiwezekani watu wamekwapua kiasi kikubwa cha pesa kama hicho wanapewa hukumu za wizi wa kuku. Watu wameiba Sh1.86 billion kisha wanalipa Sh1.5 billion. Pesa zilizobakia zimekwenda wap!
Haki ya nani!!! Wewe ni mnafiki wa hali ya juu!! Hayo mazingaombwe unayajua vizuri sana! Unatia porojo zako hapa ili kupima upepo.
 
Hivi EPA wanafungwa waswahili tu wahindi akina Jeetu Patel hata kesi hazitajwi, nimeamini Kikwete anajua kila kitu kuhusu EPA
 
chama cha masogange kina nia mbaya na vizazi vijavyo😱hwell:
 
Back
Top Bottom