Recent content by Papupi

  1. Papupi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nijiunge na JF nimekuwa nikivutiwa sana na SERAN

    Umejielezea sana Mkuu, akupe hata kwapa unuse
  2. Papupi

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    The most useless 1st place in the history of football
  3. Papupi

    JamiiForums Tanzania Seti Mbili za Treni ya Umeme na vichwa 8 vya Umeme "Samia Express" vyawasili Nchini

    Mmeacha kuziita Magufuli siku hizi?
  4. Papupi

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni hotuba ya mwisho ya Mpina?

    Chadema imeingiaje hapo sasa?
  5. Papupi

    JamiiForums Tanzania Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

    Kwahiyo wewe ndo Think tank ya Lumumba wamekutuma? Huna uwezo wa kujibu hoja za Lissu kaite Wengine
  6. Papupi

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

    Unafata Malaya bar na Bunduki? Jambazi si utaenda na Kombora
  7. Papupi

    JamiiForums Tanzania Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi

    Ney kamchochea nani tena Ukuni?!..
  8. Papupi

    JamiiForums Tanzania Ulipo Kuna umeme, huyu January Makamba anafeli sana

    Sie hatuna toka jana usiku.. Ila tunamuachia Mungu
  9. Papupi

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    Hayo mambo ya Jambazi kuu mmeleta ninyi wabongo, wapi wamesema lazima jambazi afe?
  10. Papupi

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi wala Kaizer Chiefs hawawezi kumchukua wala kumtaka Fiston Mayele

    Nasikia wanataka kumsajili Chief Mangungo wa Msovero
  11. Papupi

    JamiiForums Tanzania Jangwani kunateketea sasa ni official Bangala na Djuma Shabani wanataka kuondoka rasmi

    Ama hakika Fei anahitaji nishani ya Ukombozi hapo kunako Udimbwini, amewaamsha hata waliolala
  12. Papupi

    JamiiForums Tanzania Jangwani kunateketea sasa ni official Bangala na Djuma Shabani wanataka kuondoka rasmi

    Aya rudia kusema sasa bila ya kutoa machozi[emoji3]
  13. Papupi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

    Red flags zote uliziona wakati wa uchumba ila uliamini utambadilisha/atabadilika ukishamuoa. Pambana tu mkuu
  14. Papupi

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 iliyoongezwa kwenye mfuko wa simenti ni ndogo Sana, angalau ifike Ths 5000

    Elfu 5 ndogo sana, wangeongeza ingekua 10000. Uchumi umepaa na sisi kama wananchi tupo vizuri tunahitaji kujenga nchi yetu
  15. Papupi

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nyie Matapeli wa Uingereza mpo?!..
Back
Top Bottom