Itakuwa ni Arusha hiyo!Umerudi aisee,January huyu
Magu ALIKUWA na IQ kubwa kumuweka pembeni huyu February.Nipo zangu mitaa ya Mbezi huku Giza tupu na hakuna dalili za umeme kurejea huko ulipo vipi maana hata game ya Yanga leo sijacheki
Makamba anafeli wapi?
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Ndege ya Prigozin imetunguliwa huko ikaangukia nyaya, tunarekebishaNipo zangu mitaa ya Mbezi huku Giza tupu na hakuna dalili za umeme kurejea huko ulipo vipi maana hata game ya Yanga leo sijacheki
Makamba anafeli wapi?
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app