Recent content by Papalai

  1. P

    JamiiForums Tanzania Sumaye adai amepata taarifa ya kutimuliwa nyumbani kwake pia

    Sumaye huoni aibu?una shamba mvomero ,dar una shamba pia na labda kwingineko hatujui. hivi nchi hii mlitaka kujimilikisha kila kitu?. Ubaya zaidi hamkufuata utaratibu, mlijichukulia tu kwasababu ni shamba la bibi. Shame on you. Huwezi kuchukua ardhi yote mwenyewe wakati watanzania wanataabika...
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta ni mlevi au?

    Kuna takwimu zinatolewa humu za ajabu kweli. huyu jamaa ni mlevi na hana sifa za kuwa rais bora. Rais bora kwa sasa ni Magufuli, ukitaka kujua fuatilia nchi za wenzetu wanavyo mu admire kwa utendaji wake. mfano halisi ni WB ambayo kupitia kwa rais wake wameikubali tz chini ya uongozi wa magufuli...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kufuatia Sitta Kuonyesha Ushupavu katika Katiba, Jee Tumpe Nchi 2015, Ili Aisimamie Katiba Mpya ?

    Sitta tunayemfahamu siyo yeye tena, tumuombe Mungu atupe afya njema tuone atapewa nini na chama chake. Nadhani alichoahidiwa sijui anajua yeye peke yake ila sina hakika kama atapewa kutokana na hali halisi ya chama chake hasa ukizingatia aivyoliongoza bunge la 9 kwa umahiri akiwa spika kwa kutoa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri kutangazwa hivi punde

    Kagasheki anastahili kuwepo
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi

    Nashauri apewe Dr.Magufuli hata kwa muda airekebishe
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni yupi rais atakae tawala 2015.

    Samwel Sitta(Speed and Standards)
  7. P

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo ya masisiemu ni ufisadi tu
  8. P

    JamiiForums Tanzania test your eyes

    Six only
  9. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Kiongozi na wananchi wote wanalalamika

    Hana jipya na urais asahau,akale ile hela aliyoiba ya Richmond.Mbona alishaambiwa aachane na urais?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Chupi

    kusitiri sehemu za siri ila usivae inayobana sana,ni hatari kiafya
  11. P

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanafunzi anastahili asome darasa gani?

    Huyu dogo ni mwisho,kwa umri wake hata kama angepewa majibu angetatanika ktk kujibu,uwezo wake ni mkubwa apelekwe drs la 5
  12. P

    JamiiForums Tanzania Voda siwaelewi

    Hawa voda wezi kabisa,siku zote nimekuwa nikijiuliza hivi watu hawaoni huu uhuni wa hawa jamaa.Mbaya zaidi ukipiga ile wanayoita huduma kwa wateja utachoka,they care at all.Bado sijafanya maamuzi ya kuitupa line yao ila siku siyo nyingi nitaitupa chooni
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ufoo saro aanika kila kitu juu ya sakata lake

    Kuna utata mkubwa sana wa maelezo ya Ufoo,unapoambiwa nimeamua kujiua na mtoto wetu pia,nadhani lazima angemuuliza kwanini?baada ya majibu,angeweza kumsoma na kufahamu how serious is he and what do for the sake of the family.Mtu anapozungumza suala la kuua au kujiua ni lazima uwe makini nae.kuna...
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzungumza na/kumtuliza mpenzi aliyekasirika !!!

    Ukimya ni hekima,tafakari kabla ya kuchukua uamuzi
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Mwigulu Nchemba na VOA,azungumzia uelewa wa waafrika kuhusu kufaulu kwa mwanafunzi

    Hii nchi inaelekea kubaya,huyu jamaa ndo anapewa nafasi ya kuwakilisha nchi ng'ambo?tabu kweli.
Back
Top Bottom