Wizara ya Ardhi

Wizara ya Ardhi

Jamani mwenzenu naumia sana moyoni basi tu
 
Serikali kupitia halmashauri na manispaa wameshindwa kabisa kupima viwanja kwa wananchi. Then inatokea , mwananchi anafuata taratibu ili apime kiwanja ....document zikifika wizarani hazifanyiwi kazi...... jamani hii ni haki? Je nyie wizara mpo kwa ajiri ya nani?? Manamsaidiaje mwananchi??? Agahaaaaa
 
Sitaki kuamini huyu mama naye ni mzigo, au watendaji wake ndio mizigo
 
Watu kwa sasa wanahitaji delivery na sio porojo, she might be good at speech but when there is no action its a futile work

vere truu my braza to quote Makinda. lkn na wewe zima kipakato ulale
 
Jamani wizara ya Ardhiiiìiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Pole sana ndugu, system imeoza yote, siyo wizara ya ardhi tu! Lazima utoe rushwa ili upate huduma karibu kila sekta! Tafuta Lawyer mueleze tatizo lako atashughulika nalo, iwe upimaji wa kiwanja, iwe transfer ya title deeds au suala lolote linalohusu ardhi! Ujiandae mkono wako usiwe mfupi!
 
Katibu mkuu ukiwa kama mtendaji mkuu, hivi hili hulioni kweli?? Au mnataka wananchi hadi tuandamane ndio mtuelewe???

Wizara ya Ardhi ilishindikana toka zamani. EL aliishindwa. Pamoja na mageuzi na jitihada zote, Pombe Magufuli hakufua dafu! Imagine kwenye lango kuu pale kuna akina mama na Laptop kila mmoja, eti kazi yao ni kuandika kila aingiaye ndani ya jengo. Wanafanya hivyo bila verification yoyote ya majina wanayotajiwa au sehemu/idara waendapo. Total wastage of money and human resource. Tatizo kubwa la Wizara hiyo ni BMW. Kila kiongozi anaye mtoto, ndugu, mjomba nk ndani ya wizara. Kazi ni kulindana! As for the Honourable Minister, no issue is small or straightforward. Once it gets to her desk, it will be donkey years before it is resolved; often times after relentless meaningless or irrelevant queries. SOLUTION? Establish an independent commission to verify its systems and procedures with a view to streamlining them. The commission should also VET ALL EMPLOYEES......na kupeleleza ukwasi wao wa fedha, mali na viwanja! Someone recently told me that one out of every three undeveloped plot in Mbezi, Mtoni Mtongani, Salasala and even Boko, belongs to an official of the lands ministry....under a false name, of course!
 
Mkuu nimekupata sana. Unaonekana kujua uozo wote wa wizara hii. Ur suggestion is very paramount. Lkn kwanini hizi shughuli zisibinafisihwe tu kwa makampuni binafisi? Naamini kuna asasi binafsi zinaweza kufanya hizo kazi kwa ufanisi zaidi with maximum output
 
Hii kali, unajiuliza mwswali na kujijibu? Kweli ardhi wamevuruga mtu.
 
Wamevuruga vibaya wala sio mchezo. Nyie si mmezoea siasa na MMU tu ndizo mnachangia, linapokuja suala la maeneo nyeti wala hamongei kabisa.
 
Kuna nyeti zaidi ya nyeti za binadamu?

Wamevuruga vibaya wala sio mchezo. Nyie si mmezoea siasa na MMU tu ndizo mnachangia, linapokuja suala la maeneo nyeti wala hamongei kabisa.
 
Nashauri apewe Dr.Magufuli hata kwa muda airekebishe

Kila kitu Magufuli, tunamtwisha mizigo mingi! Hakuna wengine wanaoweza miongoni mwetu watz mil 43??? akiondoka alipo barabara zote zitashukuriwa kawambwa!
Atafutwe mwingine aliye capable kama magufuli! Mwaibula yupo wapi?
 
Tuambiane ukweli jamani, hakuna utendaji wa kazi kwa dhati kila sehemu. Kwani kazi ni kujituma sio bosi tu awe nyuma yako na hii kwetu hapa ni wavivu au we don't care as long as we get salary
 
Hii wizara imeoza kabisa ikifuatiwa na elimu. Mimi miaka nenda rudi sijafanikiwa kupata hati ya viwanja vyangu viwili huku mbezi. Kila mwaka naenda si chini yaiezi mitatu lakini hakuna chochote ninachoambulia. Nikatonywa juzi kuwa bila chochote faili halisogei! Mimi kila mwaka nalipia kodi ya viwanja vyangu nastahili kupata hati lakoni ndio hivyo tena. Uozo huu unarekebishika kwa kuitoa ccm madarakani basi! Hakuna uwajibikaji kabisa sababu ya kubebana. Its a shame mama Tiba hata lile ghorofa wamegoma kubomoa na wewe umekaa kimya!
 
Tibaijuka unafanya nini?

Iwe kama makampuni ya simu na TTCL, hii ndiyo itakuwa mwarobaini

Hii wizara imeoza kabisa ikifuatiwa na elimu. Mimi miaka nenda rudi sijafanikiwa kupata hati ya viwanja vyangu viwili huku mbezi. Kila mwaka naenda si chini yaiezi mitatu lakini hakuna chochote ninachoambulia. Nikatonywa juzi kuwa bila chochote faili halisogei! Mimi kila mwaka nalipia kodi ya viwanja vyangu nastahili kupata hati lakoni ndio hivyo tena. Uozo huu unarekebishika kwa kuitoa ccm madarakani basi! Hakuna uwajibikaji kabisa sababu ya kubebana. Its a shame mama Tiba hata lile ghorofa wamegoma kubomoa na wewe umekaa kimya!

Hapa solution ni kufumua wizara nzima kuanzia wafanyakzi hadi top management.
 
Tuambiane ukweli jamani, hakuna utendaji wa kazi kwa dhati kila sehemu. Kwani kazi ni kujituma sio bosi tu awe nyuma yako na hii kwetu hapa ni wavivu au we don't care as long as we get salary

Umesema ukweli mkuu, tatizo sio waziri tu, je wafanyakazi nao wanatimiza wajibu wao? La hasha... wengi wao wamekaa kirushwa rushwa tu.. yaani hawafanyi kazi hata kidogo ...mtu saa 6 mchana anatoka kazini
 
They are the problem for poor town planning!! Badala ya kutenga hela kufanya planning wao wanasubiri surprise!! Fikiria walitenga TZS 32BILLION KUFIDIA KIGAMBONI; WAKATI HIZI HELA ZINGETOSHA KUMLIPA INDEPENDENT TOWN PLANNERS WAKAFANYA PLANNING NA PROJECTION YA MIJI YETU KARIBIA YOTE TANZANIA!! 32 BILLION? POOR MY COUNTRY NO PLANNERS, NA HUYU MAMA NAE ANATAKA "URAHISI"
 
Mmh Tanzania my country....sijui kama tutafika tunakokutaka. Lkn mbona haya matatizo ya viwanja ni tz tu? Kwa nini kupima kiwanja iwe ni manyanyaso? Kwa nini kiwe ni kitu so special cha kuchukua miezi hadi miaka? Hao wafanyakzi kweli wapo maofisini? Hata sisi tunafanya kazi, file la mtu likiingia natarajie litike mapema, je wao inakuwaje wanakaa na mafaile kwa zaidi ya miezi 6 hadi mwaka? Au hakuna wafanyakazi? Kweli inauma sana
 
Kila kitu Magufuli, tunamtwisha mizigo mingi! Hakuna wengine wanaoweza miongoni mwetu watz mil 43??? akiondoka alipo barabara zote zitashukuriwa kawambwa!
Atafutwe mwingine aliye capable kama magufuli! Mwaibula yupo wapi?

Basi wawekwe hata baadhi wa wakurugenzi wa mashirika ya ummma wanaofanyakazi kwa ufanisi labda watainusuru hii wizara
 
Back
Top Bottom