Huyu mwanafunzi anastahili asome darasa gani?

Huyu mwanafunzi anastahili asome darasa gani?

Huyu dogo ni mwisho,kwa umri wake hata kama angepewa majibu angetatanika ktk kujibu,uwezo wake ni mkubwa apelekwe drs la 5
 
Atafutiwe kazi jf,kwani maswali mengi yanayosumbua humu jf yatapata majibu sahihi!
 
ka dogo kapewe ubunge wa kuteuliwa:shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked:
 
Back
Top Bottom