Recent content by papakitope

  1. papakitope

    Natafuta laptop

    uko wap boss mzigo upo
  2. papakitope

    High education sponsers in Tanzania

    Habarini wana JF, Nimeamua kuanzisha hii thread maalum kwa ajili ya wadogo zetu na kaka zetu ambao walichaguliwa kujiunga na masomo ya elimu (bachelor degree and masters) lakini kwa bahati mbaya au nzuri hawakuwa wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu (HESLB) Kumekuwa na wimbi kubwa la wanafunzi...
  3. papakitope

    Dalili zipi zinaonesha mapenzi ya kweli?

    Mbna unajitabiria maajali mkuu
  4. papakitope

    Dalili zipi zinaonesha mapenzi ya kweli?

    Katika global world hii leo wanandoa na hata wapenzi wamekuwa hawaaminiani kabisa kutokana na maendeleo ya kiteknolojia Wanaume weng wamekuwa wakiamini kuwa wakifanyiwa baadhi ya mambo ndio indicator ya real love. Kwa mfano 1. Kuwekwa na mpenzi wake d.p 2. Kupeana passwords za social network...
  5. papakitope

    Kupoteza academic certificate

    Kwan kuna uwezekano wa kukirenew mkuu
  6. papakitope

    Kupoteza academic certificate

    Habari wana jukwaa. Wakuu naomba msaad kama mtu anafahamu taratibu za kufuata baada ya kupoteza academic certificate ya form four na inahitajika original kwenye registration chuon first year Msaada tafadhali Usitumie lugha chafu
  7. papakitope

    Wanaume wengi ni 'sperm donors'

    M c mwanaum kakq apo ajasem mim ata wew amejumuisha wanaum wte
  8. papakitope

    Rais Magufuli na maana ya neno 'catalyst'

    Mamb kam haya ndo yanatufanya watanzania tufeli Tunakaa ku discuss na kuangalia wap alipoteleza mheshimiw tumkosoe we r wrong Tujatahid kujadili mamb yanayojenga kimsingi
  9. papakitope

    Wanaume wengi ni 'sperm donors'

    Amna n mtazam tu nime kerwa n ilo jina 'sperm donor' au we linakufurahisha mkuu
  10. papakitope

    Mtazamo hasi wa watanzania kwa walichofanya kwenye uchaguzi

    Tumekuw hivyo hivyo kwasababu mamb mengi tunafanya kishabiki na kufata mkumbo
  11. papakitope

    Mtazamo hasi wa watanzania kwa walichofanya kwenye uchaguzi

    100% tuendelee kusubir mamb mazur yanakuj
  12. papakitope

    Mtazamo hasi wa watanzania kwa walichofanya kwenye uchaguzi

    Ndo ktk kufany mabdiliko lazma aondoe baadh ya mifumo ili aweze kufanikisha mambo mengine bora zaidi
  13. papakitope

    Wanaume wengi ni 'sperm donors'

    Ndo wakikimbiw wanaanz laumu akat itz too late wangewez kukataa mapem yte yasingetokea
  14. papakitope

    Wanaume wengi ni 'sperm donors'

    M naon walaumiwe incubators kwa kuw hawafikirii baada kukubal kufanya icho walichoahidiwa hatma yake n nin
  15. papakitope

    Mtazamo hasi wa watanzania kwa walichofanya kwenye uchaguzi

    Watanzania wengi wamekuwa ni mtazamo hasi kuwa walichokifanya tar 25 Oct si sahihi kwa kuwa walichoahidiwa majukwaani juu ya mabadiliko ya kweli hawaoni kikitekelezwa kama walivyotarajia. Wanafunzi wamekuwa wakilalamika juu ya hatma ya mikopo yao na kuona kuwa serikali haiwatendei haki...
Back
Top Bottom