Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
- Thread starter
- #21
Zimefanyaje?Hizi tafiti hizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Zimefanyaje?Hizi tafiti hizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Haahahaha mm nimekariri incubator n ya kutotolea vifaranga vya kuku hahahaYamekukuta!! embu tuambizane ni wangapi wamekufanya incubator
Tumbo la mwanamke ni sawa na incubatorHaahahaha mm nimekariri incubator n ya kutotolea vifaranga vya kuku hahaha
MmmmhhhTumbo la mwanamke ni sawa na incubator
Asante kwa kulitambua hilo. Mtaa ninapoishi mabinti wabichi kbsa wamezalishwa, wengine mtoto 1, na wengine watoto 2 na kila mmoja ana baba yake. Cha kushangaza majukumu yote anabeba mwenyew.Hello jf,kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua kuwa wanaume wengi ni sperm donors na wababa ni wachache sana.
Alaumiwe nan sas sperm donors au incubatorsAsante kwa kulitambua hilo. Mtaa ninapoishi mabinti wabichi kbsa wamezalishwa, wengine mtoto 1, na wengine watoto 2 na kila mmoja ana baba yake. Cha kushangaza majukumu yote anabeba mwenyew.
Inasikitisha sana. Kwa kweli roho yangu huwa inahuzunika sana.
Kuna mwingine ni mzuri, kaumbika lkn ndiyo hivyo kazalishwa.
Km unaona huwezi kulea. Tumia condom
Sisi wanaume. Baada ya kumpiga mimba hata hela ya matumizi hutoi.Alaumiwe nan sas sperm donors au incubators
Kummimba binti then unakwepa majukumu.Uo utafiti wako umetumia vigezo vip
Safii sana,wape ukweli.Sisi wanaume. Baada ya kumpiga mimba hata hela ya matumizi hutoi.
M naon walaumiwe incubators kwa kuw hawafikirii baada kukubal kufanya icho walichoahidiwa hatma yake n ninSisi wanaume. Baada ya kumpiga mimba hata hela ya matumizi hutoi.
Yaelekea nawe ni miongon mwaoNdo wakikimbiw wanaanz laumu akat itz too late wangewez kukataa mapem yte yasingetokea
Cc Tz sweetheart [emoji1][emoji1]Wajinga tu,wanataka kua mabinti tu halafu age ikienda wako ndani ya ndoa wanahaha kutafuta watoto ya nyuma washasahau!
Labda anayeanza certificateHasa vya Chuoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizi tafiti hizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi mimi hakuna ninachotamani kama kuwa mama kwa muda huu sema ndo ivo tu baba hataki[emoji17] [emoji17]Haahahaha joanah hahah umama sio mchezo lakini ...m nasemaga ukiamua kua mama sacrifice five years ya kua busy....wadada weng wa mujini wakifikiria hvyo mmh wanaamua wapeleke sperm toiii....
[emoji28][emoji28]umenikumbusha rafk yng mmoja alikua anataman apate mtot bas mwenzie hakua tayari basi kila waki do holaaa yule dada ananiambia yaani nimeinua miguu juu ili zisimwagike hata moja lakni wapiii[emoji28][emoji28]ukifik mwsh w mwwz anaingi mp[emoji28][emoji28]haah lakm mwsho wa siku neema zakw Muumba zilimfikia na amekua mama saaa hvi kwa huyohyo baba ilibdi akubali tu hahahaBasi mimi hakuna ninachotamani kama kuwa mama kwa muda huu sema ndo ivo tu baba hataki[emoji17] [emoji17]