High education sponsers in Tanzania


papakitope

papakitope

Member
Joined
Oct 31, 2016
Messages
17
Likes
3
Points
5
Age
24
papakitope

papakitope

Member
Joined Oct 31, 2016
17 3 5
Habarini wana JF,

Nimeamua kuanzisha hii thread maalum kwa ajili ya wadogo zetu na kaka zetu ambao walichaguliwa kujiunga na masomo ya elimu (bachelor degree and masters) lakini kwa bahati mbaya au nzuri hawakuwa wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu (HESLB)

Kumekuwa na wimbi kubwa la wanafunzi kupungua vyuon na hata kutokujisajili kabisa kwa sababu z kukosa mkopo kutoka bodi na uwezo wa kujisomesha hawana.

Kwanza kabisa niwaase ndugu zangu maandiko ya imani zetu za dini yametukataza kabisa kuhusu swala la kukata tamaa alafu pili Bodi ya Mikopo haina jukumu la kuwasomesha wanafunzi kinachofanyika ni msaada tu ili kuweza kuikomboa jamii ya kitanzania hivyo kuna taasisi nyingi sana zisizo za kiserikali na za kiserikali zinazojihusisha na maswala ya kuwa finance wanafunzi ada, stationary na gharama zingine ili waweze kumudu masomo yao.

Hivyo kama unaidea kuhusu taasisi yeyote inajiyojihusisha na maswala hayo unaweza kuchangia ili kuikomboa jamii ya kitanzania.
 
AKAN

AKAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Messages
364
Likes
123
Points
60
AKAN

AKAN

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2016
364 123 60
tumekuelewa vizuri ila hatuzijui hizo taasisi ni zipi.?
 
Kirchhoff

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
3,513
Likes
3,688
Points
280
Kirchhoff

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
3,513 3,688 280
Mkuu nikajua unakuja na List ya hizo Taasisi na Sponsors. Anyway huu uzi ni muhimu kama kuna mweye khabari ataiweka hapa.
 

Forum statistics

Threads 1,273,313
Members 490,351
Posts 30,477,748