Recent content by Papaa007

  1. Papaa007

    JamiiForums Tanzania Hakuna nilichofanya mwaka 2025 cha maana, nashukuru tu niko hai

    And this is what life is all about brother! 👊🏾
  2. Papaa007

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuchukiwa kazini

    Hii ndo style yangu na ukinikuta tunavopiga cheers na liquor visungura na vikonyagi unaweza sema huyu mwingine dish limeyumba kumbe tunatafuta stim kali ya fasta kuendelea kuwaza dili za hela
  3. Papaa007

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Arusha wapi Refreshment Place yako?

    Picnic kumenoga..
  4. Papaa007

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kufanya ukiuza mechi

    Kwanza tambua wewe ni mtu mzima na ushavuka 18yrs kama bado basi umeenda tofauti na ulivofundishwa biology secondary na bado hujafika 18 Kubaliana na litakalotokea huna wa kumlaumu mambo ya gono, Uti, kaswende na mengineyo. Jua ya kwamba mimba inaeza kutokea na sio kuanza kulaumu vidonge na...
  5. Papaa007

    JamiiForums Tanzania Kwa Akili kama za huyu mdau Tanzania bado sana kupiga hatua kwa vijana wa dizaini hii

    Yani wote tukashukie Stendi ya Magufuli, Mbezi wakati nakaa Kigamboni huyu ni bogas sana.
  6. Papaa007

    JamiiForums Tanzania Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Masumbuko
  7. Papaa007

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Arusha wapi Refreshment Place yako?

    Mambo yasiwe mengi sio
  8. Papaa007

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake.

    Kuacha kugeuka nyuma napopishana na hawa viumbe maua!
  9. Papaa007

    JamiiForums Tanzania Nimechinja mbuzi nimekutana na hiki kwenye ubongo, je binadamu tunayo?

    Chemsha hyo unywe[emoji3]
  10. Papaa007

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ambae anakumbuka ile app ya ku stream mpira live anisaidie nicheki game[emoji2957]🥲
  11. Papaa007

    JamiiForums Tanzania Mpe neno mwanaume aliyekupa mimba yako ya kwanza

    Wajibu na Na wale waliotoa mimba zao za kwanza![emoji24]
  12. Papaa007

    JamiiForums Tanzania Mambo Ya Kuzingatia Unapokuwa Kazini Ili Usije Ukaishi Maisha Ya Majuto

    Asifikir wengine hatupend kuendelea kumbe tuna watu wengi nyuma yetu
  13. Papaa007

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwani kuna kesi ya ubakaji kwa wanandoa?

    Sasa unataka nan ampe na ww ukitaka akikataa utajiskiaje?
  14. Papaa007

    JamiiForums Tanzania Usipende kufikia kwa ndugu uwapo safarini

    Alaf wengine ukijipeleka kwao ndo unaenda kuwa home boy yaani utahudumia mifugo na kuangalia bustani mpaka kichwa kikukae sawa uondoke...kazi to kazi kama wanakulipa vile Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Papaa007

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Safari ya Msafiri... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom