Recent content by papaa masikini

  1. papaa masikini

    JamiiForums Tanzania Charles Kimei: One of the most exposed and reputable banking top executives in East & Central Africa. Hakupaswa kujiingiza katika siasa hizi za vyama

    Yani kama BAMIA, huaribikia ukubwani. Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  2. papaa masikini

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Kiss FM kuanza kutumia Kiswahili?

    Kipindi hichi sintokaa niisaha Kissfm, ilikuwa moto sana. Claudia Mayanka popote ulipo missing you sana.
  3. papaa masikini

    JamiiForums Tanzania Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

    Halafu ukute siku kadhaa zilizopita kuna mwana kikundi ulimweleza una mpango wa kukopa hela pahala ukamfungulie wife biashara na bado hujafanikiwa![emoji848]
  4. papaa masikini

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hali si shwari SGR muda huu. Wafanyakazi wanadaiwa kuanzisha mgomo

    Mradi umehamia Moro to Dom.
  5. papaa masikini

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Internet yenu kwa KIBAHA mkoa wa Pwani ni tatizo. Fanyeni utaratibu wa kurekebisha hill ksma lipo nje ya uwezo wenu ni vyema mkatoa taarifa kwa wateja wenu.
  6. papaa masikini

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro atangaza kuachana na chama hicho! Ajiunga na CCM

    Habari za Leo wakuu,Taarifa za kwenye mitandao ya kijamii imesambaa taarifa ya Naibu Katibu Mkuu wa CUF Julius Mtatiro kujiunga na CCM. Nini kimewapata wakurya jameni?
  7. papaa masikini

    JamiiForums Tanzania Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

    Mambo ya Kirua Vunjo haya, hawako nyuma. Hiyo ni Hospital mpya ya kisasa kabisa, inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.
  8. papaa masikini

    JamiiForums Tanzania Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    Aroo inaonyesha wanakukera sanaaa nuraaa... [emoji851]
  9. papaa masikini

    JamiiForums Tanzania Wanaopiga simu redioni kila siku wanatoa wapi fedha na muda?

    BABA MZAZI Lawena Nsonda... halafu huwa anamalizia na Kibwagizo chake cha "Eeeeeh jamaniiii... " Nimewahi fika kwake huyu yupo vizuri Ana miradi take fresh kabisa.
  10. papaa masikini

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Uchaguzi wa Madiwani unaoendelea sehemu mbali mbali Tanzania,imetiwa doa na wanachamw wa CCM waliyovaa uhusuka wa watu wasiojulikana kwa kuwashambuliwa na mapanga wasimamizi wa chama cha upinzani CHADEMA huko Arusha.
  11. papaa masikini

    JamiiForums Tanzania Mtaalam asema Watanzania tujiandae kwa Msiba mzito muda wowote Daraja la Mto Wami

    Lisemwalo lipo, mama halipo basis linajongea!
Back
Top Bottom