Imekuwaje Kiss FM kuanza kutumia Kiswahili?

Elimu na maana ya neno Best vinahusianaje
Unaelewa nini kuhusu neno "best".
Kuelewa hakuhusiani na elimu kweli hapo!!??
Yaani hata neno "best" huelewi kweli!!!!
Hivi elimu ya Tanzania ni kweli ni ya hovyo kiasi hicho au ni Watanzania ndio wenye matatizo ya uelewa!?
 
Usijifanye mjuaji dogo na vidigrii vyenu uchwara, shule yenyewe umeanzia MEMKWA

Najua ni namna unataka kukwepa boko ulilotoa

Huo usela nikitaka tule sahani moja utaaibika tu
 
Usijifanye mjuaji dogo na vidigrii vyenu uchwara, shule yenyewe umeanzia MEMKWA

Najua ni namna unataka kukwepa boko ulilotoa

Huo usela nikitaka tule sahani moja utaaibika tu
Upumbavu ni kipaji,na ni mpumbavu tu anaweza kumuita mtu asiyemjua "dogo".
Usininukuuu tena.
 
Kiss Colabo ni 3.30 hadi 7 mchana baada ya hapo anaingia Tobb the Splash na saa nane mchana anakuwa Joakim au Claudia Mayanka au Dj Criss kipindi kinaitwa Kiss Fm most Wanted baada ya hapo african beat 12 jion D7 na Dj maliz au Dj Dev wakimaliza saa 2 usiku kipindi kinaanza kinaitwa Kiss Prime time the big fuse Dj alikuwa Jeffy Jelly
Kipindi hichi sintokaa niisaha Kissfm, ilikuwa moto sana.

Claudia Mayanka popote ulipo missing you sana.
 
Ilikuwa mwaka 2006-2009 nilikuwa nasikiliza sana kiss fm kwa lugha ya kingereza.

Nilikuwa nafurahia sana vipindi vyao wakati huo
 
Na declare interest nina muda kama miaka 6 sijawa msikilizaji ama mfuatiliaji wa Kiss Fm, by the time nilipokua nawafuatilia 2014 kurudi nyuma vipindi vingi viliendeshwa kwa lugha ya Kiingereza isipokua cha African beats. Back to mwezi huu wa tisa 2020 nilisearch mara paah Kiss hiyo hapo, ilikua majira ya saa12 asubuhi nikastaajabishwa na kipindi wanakiita Dimba dogo kilikua kinaendeshwa kwa lugha ya Kiswahili, baada ya hapo nimekua nikifuatilia nakugundua vipindi kama sio vyote basi vingi vinaendeshwa kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili.

Swali langu nini kiliwapata mpaka wakarudi kwa lugha ya taifa, ni watangazaji wabobevu kwenye lugha kuondoka? Vibali vya TCRA au?
Ni kuchanganyikiwa kwa kuishuwa hiyo redio haina msimamuzi wa uhakika
 
Back
Top Bottom