Tv sirikali inaitwa ile, naichukia sana, ata sijui programme zake tena, haina lolote, upuuzi mtupu, vipindi vinakosewa, politics za chama kimoja, haina mvuto.....wamebweteka sana, ssipendi tv inayitwa ya taifa
unajua bw, ka swali la kizushi vile, ila ni kwamba vyama vingine vya upinzaini vimepoa sana, kama wanasapot ccccccm vile, kwa mfano jana, Mr. ssseeef kule zenji was so happy shein alvoshinda and give hm a lot of comliments....wakati alikua anawaponda sana, au ni koz ana uhakika wa nafasi? au...
kwanini umecreate a lot of options, wakati results bado? anyway atafanya mapambano zaidi kama kawaida yake against cccccccm, mind that he is general secretary wa chama
ata ivo atawakochi vjana wake lisu na mnyika.....kwanini hukumtaja ZITO ata ivo au ndo keshanywea siku izi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.