Recent content by papa shirandula

  1. P

    JamiiForums Tanzania ITV vs Rais Magufuli na CCM

    we jamaa nilijua utaisoma number jinsi ulivyokuwa ukishabikia ukawa duu sasa hivi umeufyata mkia na bado mtakoma
  2. P

    JamiiForums Tanzania ITV vs Rais Magufuli na CCM

    sawa sawa yaaani wewe una akili mpaka umepitiliza
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ewe mtanzania usipoteze kura yako kumpa Lowassa

    ulipotelea wapi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya ndege za kijeshi anga la Dar es Salaam ni hatari

    wivu wa kike unakusumbua ulitamani iwe mjeshi ukakosa sifa sasa donge limekukwida shingoni
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini pikipiki na baiskeli zinatembea kwa matairi mawili?

    ondoa utoto wako peleka facebook
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndege hazina kioo cha pembeni (Side mirror)?

    aliyekuambia uposti thread nyingi hata kama za kitoto kakudanyanya nilishakushauri urudi facebook unakera sana na post zako hazina maana
  7. P

    JamiiForums Tanzania The bold: Kuhusu Mtoto wa Flora

    unatoa mapovu sana du umeachwa na gwj niniaana kila kona mipovu yako unakera
  8. P

    JamiiForums Tanzania The bold: Kuhusu Mtoto wa Flora

    wewe ndo ulimtandikia kitanda baada ya kukushughulikia
  9. P

    JamiiForums Tanzania Audio: Askofu Gwajima awajibu Polisi Kuhusu kuitwa aende kujieleza

    mbona mapovu yanakutoka hivyo unawafundisha kazi polisi we nani nenda kalale maana naona umevimbiwa tumbo kwa maharage
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu ameamka asubuhi na matope miguuni

    huyo atakuwa ni mwanaume wa arusha anayekula miguu ya kuku ndiyo maana akilala anafukuafukua kama kuku HALAFU WE SAKAFU USIJIFANYE BINGWA WA KUPOSTI THREAD ZAKO UCHWARA HUMU SI LAZIMA UPOST CHANGIA HATA WENZAKO AU UNAFIKIRI FB HUMU KAMA VIPI RUDI FB UPELEKE UTOTO WAKO HUKO NA WENZAKO
  11. P

    JamiiForums Tanzania Fikra kuhusu watu wakimya

    wakati mwingine unyonge huletwa na harufu ya mdomo na hivyo mtu kutojiamini na kuwa mkimya kwa kuogopa aibu na sio kwamba ana dharau au wanajamvi mnalionaje hili
  12. P

    JamiiForums Tanzania Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji

    we kangamoko kazi yako baa kucheza taarabu na kukata mauno umejua lini sheria funga domo lako kabla sija...........
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

    samahani mkuu nijahitaji kufika hapo ulishapata hiyo namba ya simu kwani nami nina shida kama hiyo
Back
Top Bottom