The bold: Kuhusu Mtoto wa Flora

The bold: Kuhusu Mtoto wa Flora

Status
Not open for further replies.
Wewe uko zaidi ya majuha na mapum.bavu wote duniani kama hujitambui. Pu.baff kabisa tumishi la shetani wa kuzimu!.

Habari wakuu,

kitambo kidogo nimekuwa kimya sana kutokana na sababu kadhaa zilizo nje ya uwezo wangu.!
nafahamu wengi mnashauku ya kutaka kujua ukweli juu ya mtoto wa Florah na kama kuna uhusika wowote wa "mzee wa chopa", na pia nini kinachoendelea nyuma ya pazia kati ya Emma VS Florah, Emma VS "mzee wa chopa", na Florah VS "mzee wa chopa".!!

Naomba niseme kuwa kuna masuala ya kisheria ambayo kwa sasa yananibana kutosema lolote au kuzungumzia juu ya masuala hayo hadharani au kwenye media! changamoto hii imetokea baada ya zile nyundo nilizoshusha kipindi kile, kuna mambo mengi sana hasa yahusuyo sheria yalitokea ambayo sina uhuru wa kuyazungumzia hapa kutokana na terms za hayo makubaliano..

kwa ufupi naomba niseme hayo tu ili nisije kunogewa nikavuka mipaka! ila naomba mfahamu kuwa TUKO PAMOJA, na muda muafaka ukifika mambo yakikaa vizuri, "ntamwaga mchele" wote..!!

Mbarikiwe sana.

THe Bold
 
Weweeee kamaunahisi umembetowa kaa kimya wenzio wakusaidie!!storyza kilasiku ooh chops ophfloraa!!!tulia mjimkubwa huu uamini kapime nawatoto wako ulionao kama
 
Emmanuel Mbasha mume wa Flora Mbasha amekuwa akilalamika kuchukuliwa mke na Gwajima.Kumaliza ubishi aombe mtoto aliyezaliwa karibuni akapimwe DNA ili kumaliza ubishi kama huyo mtoto ni wa Gwajima au wa Mbasha.
 
watu bhana!!
 
Umbea tu hayakuhusu mahusiano ya watu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
.....wewe jamaa umemkomalia Gwajima utadhani amezaa na wewe au unataka na wewe akupe Mimba?
.....Tangu atoe tamko kwa Pengo basi hukai hata dakika 4 unamtaja Gwajima, haumshushi thamani ila ndo kwanza unapandisha jina lake.
 
.....wewe jamaa umemkomalia Gwajima utadhani amezaa na wewe au unataka na wewe akupe Mimba?

Subiri wanawake wengi waumini wake aliowapa mimba waanze kujitokeza hadharani ndio utajua nilichoandika kina maana gani.
 
Na kama itasibitishwa
sio wa Gwajima. wazushi wote ukijumlishwa na wewe mtatakiwa mlipe faini ya milioni 100 kila mmoja wenu ili iwe fundisho kwa uchonganishi wenu
 
Sasa chukulia mtoto akapimwa DNA akaonekana ni mtoto wa GWAJIMA hapo unasemaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom