Ndugu yangu ameamka asubuhi na matope miguuni

Ndugu yangu ameamka asubuhi na matope miguuni

Kuna ndugu yangu anaishi nyumbani kwangu. Jana Jumapili alipoamka asubuhi sana ili ajiandae kwenda kusali Kanisani lakini cha ajabu alikuta miguu yake ina matope kibao tena akiwa amechoka balaa. akaja kunijulisha huku akiwa na matope kibao kwa kweli nilipigwa na butwaa na ikabidi tumpeleke Kanisani kuombewa.

Wakuu nakuja kwenu kama kuna mwenye idea na mambo haya na chanzo chake nini hasa?

Karibuni..

huyo atakuwa ni mwanaume wa arusha anayekula miguu ya kuku ndiyo maana akilala anafukuafukua kama kuku HALAFU WE SAKAFU USIJIFANYE BINGWA WA KUPOSTI THREAD ZAKO UCHWARA HUMU SI LAZIMA UPOST CHANGIA HATA WENZAKO AU UNAFIKIRI FB HUMU KAMA VIPI RUDI FB UPELEKE UTOTO WAKO HUKO NA WENZAKO
 

Attachments

  • 1427118884858.jpg
    1427118884858.jpg
    52.8 KB · Views: 226
Naona wachangiaji wengine wanapinfusha maelezo...mtoa mada huyo ndugu yako alibebwa na wachawi kwenda kulima mpunga
 

Alikuwa baweni anapanda mpunga, kama kazi hawakumaliza leo tena ni lazima wakamalizie kazi.
 
Jamani msaidieni huyu bwana......ni hatari saana.Maana hawa jamaa wanaweza tumia adhabu ingine mbaya zaidi.
 
Kuna ndugu yangu anaishi nyumbani kwangu. Jana Jumapili alipoamka asubuhi sana ili ajiandae kwenda kusali Kanisani lakini cha ajabu alikuta miguu yake ina matope kibao tena akiwa amechoka balaa. akaja kunijulisha huku akiwa na matope kibao kwa kweli nilipigwa na butwaa na ikabidi tumpeleke Kanisani kuombewa.

Wakuu nakuja kwenu kama kuna mwenye idea na mambo haya na chanzo chake nini hasa?

Karibuni..

mashuka yako katika hali gani?
 
kama unaishi mwananyamala magomeni kigogo mburahati mbagala tandika manzese tandale ni mambo ya kawaida tushazoea
ukiamka nawa tu
cha kufanya chelewa kulala uwe unajidunga (sio sindano ufafanuzi pm)
au angalia series usiku kucha usilale kwenye kitanda

jioni njema
 
Isijekuwa alirudi nyumbani akiwa amelewa bila ya kuwa na viatu miguuni
 
Back
Top Bottom