papa shirandula
Member
- Sep 15, 2014
- 21
- 8
unatoa mapovu sana du umeachwa na gwj niniaana kila kona mipovu yako unakeraEmmanuel Mbasha mume wa Flora Mbasha amekuwa akilalamika kuchukuliwa mke na Gwajima.Kumaliza ubishi aombe mtoto aliyezaliwa karibuni akapimwe DNA ili kumaliza ubishi kama huyo mtoto ni wa Gwajima au wa Mbasha.