Kwanini ndege hazina kioo cha pembeni (Side mirror)?

Kwanini ndege hazina kioo cha pembeni (Side mirror)?

Halafu hizi nyuzi zingine sijui zinafaa kushonea nini yani!!!
 
wakuu vyombo vyote vya usafiri kama magari,pikipiki,baiskeli vina side mirror za kumuongoza dereva.lakini kwa nini ndege hazina SIDE MIRROR. mwenye kufahamu hili atujuze
aliyekuambia uposti thread nyingi hata kama za kitoto kakudanyanya nilishakushauri urudi facebook unakera sana na post zako hazina maana
 
wakuu vyombo vyote vya usafiri kama magari,pikipiki,baiskeli vina side mirror za kumuongoza dereva.lakini kwa nini ndege hazina SIDE MIRROR. mwenye kufahamu hili atujuze

Haitarajiwi kuwa ndege zitapishana umbali mdogo kiasi chakuhitaji kioo. Zikiwa hewani umbali wa mita 8,800 toka usawa wa bahari haziruhusiwi kukaribiana chini ya mita 300. Umbali huu unaitwa separation minima.
 
wakuu vyombo vyote vya usafiri kama magari,pikipiki,baiskeli vina side mirror za kumuongoza dereva.lakini kwa nini ndege hazina SIDE MIRROR. mwenye kufahamu hili atujuze

Vyombo vyote vya usafiri? Meli pia?
 
wakuu vyombo vyote vya usafiri kama magari,pikipiki,baiskeli vina side mirror za kumuongoza dereva.lakini kwa nini ndege hazina SIDE MIRROR. mwenye kufahamu hili atujuze

Aisee,pale mbele kwa rubani Kuna kitu Kama dirisha/kioo ambacho anaweza kuchungulia nje,chini Kuna ground Injinia ambaye huangalia usalama Ili ndege moja isigonge nyingine..angani ndege huruka kwa kuongozwa na waongoza ndege kwahiyo aina haja ya side mirror,angani rubani akitaka kukata kulia/kushoto,kushuka chini,juu rubani anaomba kwa waongoza ndege na kuluhusiwa...
 
Jf noma kweli, hila hili la ndege ina honiii? Dah ndo la kuuliza mana nahis kwa hili ndege pekee hapa ndo iko exceptional
 
Inabidi binadamu nae awe na side mirror kusudi asipate shida kugeuza geuza shingo kila mara
 
wakuu vyombo vyote vya usafiri kama magari,pikipiki,baiskeli vina side mirror za kumuongoza dereva.lakini kwa nini ndege hazina SIDE MIRROR. mwenye kufahamu hili atujuze
Shule zimefungwa wazee wa madesa....swali gani hili???pitia pitia vitabu vya physics acha uvivu??sasa hivi hata
vijana wa mitaani eti ni "great thinkers " na nyuzi zao hizi za kujaza nafasi tuu...kuna uchaguzi unakuja kwann unauliza huu utoto??
 
sio ungo mkuu

Ha ha ha,rubani anapoweka reverse gear,mafuta mengi hutumika,Si unajua mafuta ya ndege ni ghari hivyo haishauriwi..pia ndege inaporudi reverse inatumia full power na kelele kuwa kubwa hasa hivyo hairuhusiwi
 
Back
Top Bottom