Recent content by Panzermeyer

  1. Panzermeyer

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    You have taken my comment out of context. Read between the lines, if understanding something really matters to you
  2. Panzermeyer

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Hakuna lolote la ajabu kwenye usaili wa kwenda monduli. Kinachoongezeka pale sana sana ni Oral Interview to mention but a few. Mengine ni kama yale ya kuingia jkt
  3. Panzermeyer

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Elimu huachwa getini kwa muda mfupi. Ila ukifika muda wasomi wanaenda monduli, hapo ndo wengine hujutia kwann walikimbia/waliacha shule. Maana hapo ndo umuhimu wa shule huonekana
  4. Panzermeyer

    JamiiForums Tanzania Nani anaongoza Nchi kwa sasa ambapo viongozi wa juu hawapo Nchini?

    Spika wa bunge
  5. Panzermeyer

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Sababu no 1 Mfumo wa utawala na madaraka wa jeshi Mfumo wa jeshi upo kama wa vile ulivyokua mfumo wa elimu wa kikoloni, yaani una shepu ya piramidi ( pyramid ). Yaani jeshi linakua na maofisa wa ngazi za juu wachache, wa ngazi za kati wengi kidogo na maaskari ambao ndo wapiganaji wengi. Kama...
  6. Panzermeyer

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Mkuu namalizia kula yai, nitakujibu
  7. Panzermeyer

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

    Movie na stori nyingi za vijiweni mara nyingi hupotosha ukweli. Cleopatra hakua mzuri na wala hakusifika kwa uzuri. Bari alisifika kwa kua na akili na ivyo kumfanya aweze kua na uwezo wa kuwapata wanaume wenye nguvu za kimadaraka kama Julius Caesar na Marc Anthony. Ambao wote walikua wamemzidi...
  8. Panzermeyer

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Kuna suala la logistics. - vyakula - madawa - maradhi - mavazi Na mengineyo ya msingi unayoweza kuyafikiria. Ndomaana kuna mchujo
  9. Panzermeyer

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Ukielewa jibu langu, utaelewa kama swali lako lina umuhimu au la
  10. Panzermeyer

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Maisha sio suala la kufanya kupata fedha tu, pia ni kufanya kazi unayoipenda toka moyoni
  11. Panzermeyer

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    You are sell-out but I ain't buying
  12. Panzermeyer

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Ulisema kuna watu wanaelimu na hawajaenda TMA, alfu unakuja kuzungumzia watu ambao walikua na elimu, walio maliza mafunzo ya jkt,kukosa kwenda tpdf. Hakuna uhusiano kati ya hili unalosema sasa na yale uliyosema mwanzo.
  13. Panzermeyer

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Ulichokiongea hapa na ulichokisema mwanzo ni tofauti
  14. Panzermeyer

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    In that case, with facts, prove the credibility of your accounts
  15. Panzermeyer

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Tanzania Food & Drugs Authority hahahaha
Back
Top Bottom