Recent content by pantaleokuroba

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wengi wenye akili nyingi (genious)siyo waongeaji/huwa hawajui kujieleza?

    Christmas siyo x-mas hiyo x-mas ni yawapinga christu kama wewe.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Makafara katika ujenzi wa magorofa

    Kaka Mshana ushirikina upo kabisa nakumbuka 1998 nilienda kumtembelea kaka yangu maeneo ya bariadi ambayo kwa sasa ni simiyu nyege zangu ziliniponza nikamfuata demu mbali kidogo na nilipofikia wakati narudi saa saba za usiku nilifukuzwa na mienge ya moto iliyokuwa inapepea mithili imeshikwa na...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

    Mshana Jr. Nataka nikasomee degree ya ulozi katika fani ya chuma ulete chuo kipi kitanifaa?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Germany shepherd and doberman wanauzwa

    0752892334
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kikwete yuko New York Marekani

    Duh! Punguzeni chuki binafsi hivi mh. Kikwete kawafanyia nini hadi mumchukie hivyo? Yaani hakuna kizuri hata kimoja alichofanya? Kweli jamani! Basi anayejiona ni msafi na hana hatia aendelee na masimango yake. Ingawa majungu na matusi hayatawasaidia kitu.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Haya ya kweli kuhusu Rock City Mall?

    Ni ya kawaida tu haiwezi kuzidi zote east afrika
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tamasha la injili la X-mas, kiingilio 50,000/= Diamond Jubilee

    Kama kweli kiingilio ndio hicho litakuwa tamasha la kifisadi ingawa silizimishwi kuingia injili ya Yesu haina gharama waache kuibia watu wamwogope MUNGU anawaona.
  8. P

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hamna maana mnamkopesha mtu milioni 6 mnamubana kwa miezi 6 kwa biashara gani hapa Tanzania ambayo INA rundo la kodi lukuki pia maafisa mikopo wenu wanapenda rushwa.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Mh. Rais ana haki ya kuteua mawaziri ambao anaamini watamusaidia kuleta maendeleo na kuzuia maovu. Mimi binafsi nawaomba watanzania tusilihukumu baraza la mawaziri tusubili tuone utendaji wao. Mawaziri wako chini ya waziri mkuu na mh. Raisi ambao ni watu makini na wachapakazi hivyo...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Namkumbuka Magufuli wa Sengerema Sekondari

    Teh teh mfuate may be atakupoza japo ka udc
  11. P

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kubenea kashinda
  12. P

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Nasikitika kuwatangazia kifo cha Baba yangu kipenzi

    Pole sana ndugu yeti.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Mamba aibukia ndani ya glasi ya maji na kumtafuna mtu

    K 4 LIFE katika ubora wako
  14. P

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapya wa Bunge lijalo hadi sasa

    Unaota mchana
  15. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Uwanja wa ndege wa Mwanza kuwa kama wa Uswis

    Acha kutetea unyanyasaji kisa una mapenzi na ccm kuliko unavyompenda mumeo. Ujinga sumu elimu...elimu....elimu.
Back
Top Bottom