Haya ya kweli kuhusu Rock City Mall?

Haya ya kweli kuhusu Rock City Mall?

Mnaosema hivyo muwe na uhakika sio kukurupuka tu je mmefika Village market Gigiri, Nairobi mmefika West Gate, Yaya au Sarit center?mimi naishi jirani na hii mall nikichungulia nje tu naiona haina kiwango hicho cha village wala Westgate ila ni yetu tunajivunia chetu na huu ndio utakuwa mwanzo kuwafikia na kuwapita wale waliotutangulia Samahani picha nilizozi attach jengo lilikuwa kwenye ujenzi miezi miwili nyuma
 

Attachments

  • 1450708335704.jpg
    1450708335704.jpg
    76 KB · Views: 543
  • 1450708441063.jpg
    1450708441063.jpg
    71.4 KB · Views: 495
Huko ilikojengewa ndo wasiwasi wangu laiti kama ingekuwa hata pale ilipo IMALASEKO SM yaani mtu wa Nyakato au Mkuyuni apande gari moja tu siyo mpaka uunganishe route mbili.BTW:Siyo mbaya iko njema.

Mall kama hizi target yake sio wapanda madaladala, target ni middle class citizens ambao kibongo bongo hawezi kukosa hata Vitz au hela ya kupanda daladala mbili at least. Hao wanaoshindwa kupanda daladala mbili waende Nyakato Sokoni au Makoroboi au lah wasubiri gulio la Jumamosi pale Nyakato.

Unaambiwa bei ya square meter moja ni dola 22 kwa mwezi floor ya chini na dola 20 ukipanda juu, kwa hiyo bei ya bidhaa nyingi humo sio kila mtu atamudu
 
Guys, this mall is big, and I can assure you westigate chamtoto.

Tulijua na tunajua Kwa sasa this RC Mall takes the lead.

Mwanza kuna vitu vingi vikubwa vinajengwa kuliko hata Dar.

Mfano.
Mwanza international Airport itakuwa na strip ya mita 3900 wakati ya Dar unacheza 3400mita. Ndefu kuliko KIA pia ila iko under construction.

Jengo la abiria wenyewe Nitakuwa Kwa marefu mita 250 likiisha.

Watu ni wabishi na hatuwezi kulazimisha kuaminisha maana wengine wanaona Dar au Nairobi ni kila kitu.

Lakini ni kuwa Mwanza imeanza kuandaliiwa kuwa jiji la kisasa kumbuka Lina watu takribani 2m mjini.
Ebu tulia wewe! Dar kitu kingine, licha ya hizo projects ulizotaja hapo juu, UNAJUA jiji la Dar kuna inner cities ngapi zinajengwa?
Kwa taarifa yako, Dar inategemewa kuwa na 'city centers' kama sita hivi, Mwanza bado iko bize na kuiendeleza Nyamagana!
Mwanza pako poa, ila sio pa kuilinganisha ma Dar, si leo wala kesho, Dar itaendelea kuwa mbele!
 
Duuh kama ni kweli basi hapa jamvini watu ni wanafiki sana..jana kuna taarifa niliisoma hapa kuna mmoja alisema jengo ni kama admin block ya chuo

😂😂😂😂😂😂 nenda kahakikishe
 
Niko naangalia Tv1 habari, wanasema jengo lililozinduliwa leo la Mwanza, Rocky City Mall ni kubwa na la kifahari Africa Mashariki, hakuna mall kubwa kama hiyo... eti ni kweli?

Jengo ni zuri lkn si kubwa ki hivyo.
 
Yaani daah inasikitisha sana..huku jamvini kuna watu hawana hata ethics za uzalendo na kusifia maendeleo wao ni kuponda tuuuuu utafikiri ni wahamiaji waliopewa vibali vya kuwa watz...ma intarahamwe...

Sifikia kitu harisi siyo kusifu tu kwasababu kitu ni cha kwako.
 
Back
Top Bottom