Ilishindikana vipi kumkamata akiwa katika ardhi ya nchi yao?
Na kwa nini DRC hawakutumia njia hiyo ya kuomba huyo mwenye uraia pacha akamatwe akiwa Ubelgiji na vyombo vya usalama vya nchi hiyo.
Hiyo bajeti ya kumkamata raia asiye Mtanzania na hatimaye kumpeleka Dar es Salaam hawaoni kama ni...
Ninawasilisha malalamiko yangu rasmi kuhusu huduma ya Azam TV ambayo nimeilipia lakini sijapata huduma ninayostahili, pamoja na kushindwa kabisa kupata msaada kutoka kwa huduma kwa wateja.
1. NIMELIPIA TSH 28,000 LAKINI HUDUMA SIJAPATA KAMILI
Jana nililipa TSh 28,000 kwa ajili ya kifurushi cha...
Mshaachana na mzazi mwenza kwa taraka na akaolewa na mwingine, huyo futa kabisa akilini mwako maana mawasiliano hayo na mke wa mtu yatapelekea kupashiana viporo.
Vaa uhusika wa endapo wewe ndiye mpashiwa kiporo kwa mkeo, inauma sana.
Mara Zuchu atangaza kuachana na Diamond mara nini! Tumewachoka sasa, msi-force kuwafuatilia nyinyi tu ili hali kuna mambo kedekede tunayapambania kwa ajili ya kesho iliyo njema kwa watoto wetu katika taifa lao teule lenye maziwa na asali.
Saddam ulihusishwa na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, ikiwa ni pamoja na kukandamiza wapinzani wa kisiasa, kuwafunga au kuwaua wakosoaji, na mashambulizi dhidi ya baadhi ya makundi ya wananchi. Kwa hiyo, si sahihi kuutazama utawala wake kwa upande mmoja tu
Jamaa hawezi kukubaliana kabisa kumrudia, hivi alikuwa anafikiria kuwa akimrudisha kwao amuendee kwa mganga mwanamke abadilike kuwa kichaa, anadai kamgharamia sana mtoto wa mwanamke kipindi anaumwa hivyo anaumia sana kwa malipo anayopewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.