Recent content by PAMBA1

  1. PAMBA1

    Who is Renatus Pamba?

    Jina langu la mziki naitwa mr simple
  2. PAMBA1

    John Guninita arudi CCM akiihama CHADEMA, amwomba radhi Rais Magufuli

    Ndiyo hivyo nasikia kaona aibu kurudi majukwaani kaenda kwao morogoro kuandika huo upuuzi wake ama kweli kila kitabu na mtume wake.
  3. PAMBA1

    Madereva wasitisha mgomo: Kero zao kutatuliwa ndani ya siku 7

    Nilikuwepo ubungo hii leo wakati makonda anaingia na kuzomewa lakini mwenyekuti wa chadema alipoingia mh mbowe alipokelewa kwa shangwe na maandamano pamoja na watu wakiimba rais rais rais Wamesikikika wakisema waziri mkuu alikataa kuja eti kunamatope lakini mbowe amefika asante mbowe...
  4. PAMBA1

    CHADEMA Magu: kuweni makini kwa wingi huu wa watiania ubunge

    Sijawahi kutumia account fake hata siku mmoja mm ndiye pamba1 siwezi kuhangaika na mambo hayo nimepigiwa simu nimeona nijitokeze kwenu.
  5. PAMBA1

    Download: Wimbo wa baba Kundambanda na uusikilize vizuri,"usalama wa raia"

    Nimeupata wakuu,jamaa anatisha ajichunge nayeye
  6. PAMBA1

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    Naomba kuchangia haya ninayoyafahamu kuhusu viwanja vya mabwepande kwanza viwanja vya mabwepande havikuwa chini ya halmashauri ya manispaa ya kinondoni bali manispaa ilishikishwa katika kuratibu na kusimamia upimaji tu.ugawaji na upimaji kwa maana ya garama za upimaji na kuwalipa wenye eneo...
  7. PAMBA1

    Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    Tukiweza tungeweza kuvumiliana tungefika mbali sana.
  8. PAMBA1

    Huyo ndiye Ben Saanane na majibu ya Zitto

    Wewe uliyetaja hayo majina na tuhuma hizo nzito umetumwa na kamati kuu ya chama au Sanane mwenyewe amekutuma hebu msituhalibie chama,tuhuma kama hizo kama unauhakika nazo na kama Ben anauhakika nazo azipeleke kwenye chama zijadiliwe humu majungu hatutaki.
  9. PAMBA1

    Madiwani wa CUF na CHADEMA Manispaa ya Kinondoni wasusia kikao

    MADIWANI WOTE WA CHADEMA NA CUF WAMETOKA NJE KWA KUPINGA UKIUKWAJI WA KANUNI ZA HALMASHAUL YA KINONDONI,KANUNI YA SITA KIPENGELE C inayosema mkutano wa mwaka ni kuchagua naibu meya na wajumbe wa kamati pamoja na ratiba ya vikao pamoja na kujadili kazi za utekelezaji wa manispaa kwa kipindi cha...
  10. PAMBA1

    mtihani kwa mnyika

    Mnyika ushahidi anawo tena zaidi ya mnavyofikilia.
  11. PAMBA1

    UKWELI: Hali ya Muhimbili Hospital na Ocean Road ni ya HATARI

    Watanzania hatuna umoja,laiti tungekuwa wamoja mpaka sasa serikari ingekuwa imeondoka madarakani. Hat a maandiko matakatifu yanasema uoga ni dhambi tena mtu mwoga hataishi milele kwani atakufa kwa uoga wake. NA neno usiogope limeandikwa Mara 360 ndani ya biblia NA ni kila Kurasa imeandikwa...
  12. PAMBA1

    Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

    Msafara WA rais umezuiwa NA wananchi maeneo ya tegeta basi haya NA watu wawili wamelipotiwa kufa akiwemo asikari WA usalama NA mwananchi mmoja.
  13. PAMBA1

    Idd Simba, Salum Mwakinginda wafikishwa mahakamani

    Ujeuri umeisha anatetemeka sana
Back
Top Bottom