Recent content by palesh pizoo

  1. palesh pizoo

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ndo shida yaan ila nataman asiendelee naye ikiwezekana achape apite hivi maana huyo manzi sio hafai
  2. palesh pizoo

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Habar za siku ya mashujaa wakuu. Nmesoma sana humu nmegundua sio wachoyo wa kutuhabarisha na mimi nimeona nisiwe mchoyo leo nitatoa kisa kimoja japo ninavyovingi library[emoji38] Siku moja jion mwanangu alinipitia magetoni na kuniambia amepoteza simu nikamsaidie kutafuta, tukiwa kitaa...
  3. palesh pizoo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ww unaitumiaga ni ya uhakika mkuu! au ni App yako unataka tukuunge mkono
  4. palesh pizoo

    Korosho bei ya shambani

    20000 tu mkuu
  5. palesh pizoo

    Korosho bei ya shambani

    Wakuu poleni na majukumu, Ninayofuraha kuwatangazia kuwa nauza korosho bei sawa na shambani ninapatikana Dodoma, Korosho ni safi zinachambuliwa kabla ya kuzifunga na kuzipima kwny mzani ndipo nawapelekea walaji. Karibuni niwahudumie kwa bei ya Jumla na Rejareja. Itapendeza zaidi ukinitafuta...
  6. palesh pizoo

    Siri ya Adam, nyoka na mti wa katikati

    natamani kukuelewa kiundani lakin nafikiri ukitulia utarudi kutupa maarifa zaidi maana hapa ulipoishia ndo umenipngezea kujidharau na kitendawili changu cha kujiuliza mimi ni nani na anayenitawala ananufaika na nini kwa kunificha ukweli ambao yeye aliutoa wapi na kwa manufaa gani asiuweke wazi
  7. palesh pizoo

    Akili ya binadamu

    Samahani mkuu hii dopamine inaweza kuhusiana na mtu kuwa addicted na matendo ya kujiendekeza ambayo kimsingi yanaweza kumpelekea athark fulani kwa siku za mbele? e.g:Punyeto, Wizi nk
  8. palesh pizoo

    Akili ya binadamu

    Kwa haraka nazani ni mifupa ile inayoweza kutafunika mfano ya samaki wadogowadogo ndio mifuoa rahisi kulika. Si inasaidia pia mkuu?
  9. palesh pizoo

    JamiiForums Usiku wa manane

    Alfajir ya manane 05:40
  10. palesh pizoo

    Nimeanza maisha mapya kama Vegan

    kwan VEGAN mwenyew anasemaje
  11. palesh pizoo

    Kutoka kuwa mke wa ndoa na kuwa mchepuko

    Kama kweli wewe uliyeandika hii ndio umeachana na mkeo basi kuna mawili either wote ni waimba taarabu au mume umezidi uongeaji na kuna uwezekano alikuwa anakudharau kwa sababu kwa sababu hii.
  12. palesh pizoo

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Hauna maajabu yyt mm ninaziuza zinauzia jina tu lakin c nzuri
  13. palesh pizoo

    Wanaume wanaohitaji kujiunga na chama cha UMOJA WA WANAUME BAHILI TANZANIA

    Sasa ww mia tano unasema tu kwa maana ndogo au
  14. palesh pizoo

    Vumbi la Kongo

    Tunapenda kuhusisha kila mtu na uongo. Ww sema kama kuna athari na kama athar ni zipi nishauri wengine wajue wakiweza waachane nayo nina 26 mkongo wa nn sasa mm
Back
Top Bottom