Vumbi la Kongo

Vumbi la Kongo

palesh pizoo

Senior Member
Joined
Apr 14, 2018
Posts
131
Reaction score
224
Habarini za usiku wakuu.

Leo nimepita mitaa fulani nikasikia vijana wenzangu fulani wakizungumzia jinsi wanavyotumia Vumbi la kongo(Kufunga lemba) na jinsi wanavyoifurahia nikagundua kuwa kuna uwezekano ikawa vijana wengi sana wamejiingiza kwenye matumizi ya hiyo kitu.

Sina ujuzi nayo sana ila ni imani yangu kuwa humu naweza kupata msaada wa mawazo mazuri juu ya vumbi la kongo. Naomba kujuzwa Je, kuna athari zipi anazozipata kijana kwa kutumia vumbi la kongo maana naona kama hali ikiendelea hv na vijana wengi ndo wameathirika kisaikolojia maana kila date yao wanawaza kuidumisha kwa mkongo najiuliza kama ikiwa na madhara kuna uwezekano wa kuharibu zaidi vijana na watoto wanaochipukia
 
hao vijana ni siasa mkuu, sema mimi nataka kujua...................................!
 
Sina, ila ukweli ndio huo.
Ukijizoesha kusimamisha uume hivo.

Itafikia wakati huwezi tena hata kidogo hadi utumie Vumbi la kongo
Sijawahi kutumia ila vumbi la congo kwa story zilizopo sio kama viagra ila linaleta ganzi mtu hafeel anything so anaweza kukaa tu ana ride. Haimfanyi mwanaume aerect, bali akishaerect inakuwa ngumu kufikia kileleni. Ndiyo maana kuna madai wanafunzi wa kigoma wanalipaka kwenye makalio wakichapwa shuleni wasihisi maumivu.
 
Inategemea na aina ya ujenzi unaotaka kufanya, kama ni ghorofa bc tumia vumbi la Congo.
 
Sina, ila ukweli ndio huo.
Ukijizoesha kusimamisha uume hivo.

Itafikia wakati huwezi tena hata kidogo hadi utumie Vumbi la kongo
Vumbi halikufanyi uzimamishe bali linafanya uchelewe kumwaga tuu hvy ukipaka vumbi afu husimamishi bc hy n kazi bure
 
Nikiwa mkoani nalipataje maana naona sikukuu zimekaribia na nina milupo kama 7 hivi
 
hao vijana ni siasa mkuu, sema mimi nataka kujua...................................!
Tunapenda kuhusisha kila mtu na uongo. Ww sema kama kuna athari na kama athar ni zipi nishauri wengine wajue wakiweza waachane nayo nina 26 mkongo wa nn sasa mm
 
Back
Top Bottom