Recent content by pakuchu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba kuelekezwa namna ya kutumia hizo code number
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu Mimi mgeni wa kutumia betting za Moira mara nyingi nimekua nikicheza za live casino...naomba kueleweshwa jinsi ya kuweka hizo code betpawa maana siwezagi kubet kwenye Moira kabisa alafu sijui hizo code unatumia vipi... Nitashukuru kupata mwongozo wako
  3. P

    JamiiForums Tanzania Watoto kuzaliwa hawana sehemu ya haja kubwa

    Kweli kabisa ata Mama yake alitulia baada ya kukuta ni wengi tena case zao kubwa zaidi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Watoto kuzaliwa hawana sehemu ya haja kubwa

    Hii mada nimeiona baada ya huo ugonjwa kubisha hodi kwenye Maisha yangu...binti yangu kazaliwa na tatizo Hilo wapo muhimbili wamelazwa mpaka jumatano... kiukweli ata sielewi na kila mtu wa karibu yangu ni mgeni wa tatizo Hilo... mpaka wazazi wetu wa pande mbili hakuna aliewah kuona
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Kitambo nikiwa mdogo nilikua natoka usaha masikio yote Ila sikuwahi kupelekwa hospital zaidi ya miti shamba bi mkubwa alipambana Sana
  6. P

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanamuabudu Mungu wa uongo hapa duniani

    Mkuu kwakua wewe umesema ungetupa mwanga kidogo kuhusu hayo maandiko
  7. P

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

    Kwaiyo ata kutolewa camera kwenye nyumba aliyokua anakaa Lissu na kusema msaliti Katikati ya Vita ni wa kuuwawa bado hausiki..alichukua hatua gani makonda alivyo vamia clouds
  8. P

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

    anataka kuchafua Siri Kali anatumiwa na mabeberu..
  9. P

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Glory Robinson mtangazaji wa Redio Free Africa?

    Kama sikosei yupo BBC swahili
  10. P

    JamiiForums Tanzania Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

  11. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Dar, 103.3mhz fm ni Redio gani?

    Hiyo ni BBC
  12. P

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa kisayansi uliogundua sauti za wanadamu wanaoteseka kuzimu

    Huyo mpigaji tu
  13. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

    Huna lolote gamba mkubwa wewe
  14. P

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

    Ushahidi waliokua nao ni wa ile ripoti ya Richmond na wala si ushaidi mwingine unao ufikiria..mh Lowasa ameshatolea ufafanuzi suala hilo...baada ya yeye kujiuzulu umetokea ufisadi kiasi gani ndani ya serikali ya Ccmagamba
  15. P

    JamiiForums Tanzania Waliopo CHADEMA kinafiki Kigoma Mjini, wahurumieni Watanzania

    Jifunze kuandika vizuri na kutenganisha maneno gamba mkubwa wewe
Back
Top Bottom