bro hiyo kitu si salama kabisa kwa sababu zifuatazo, kwenye Vagina kuna normal flora kwa ajil ya ulizi wa maeneo haya but wakihamishwa mazingira ambayo si rafiki mfano ndo wamehamia mdomoni kutoka kwenye Vagina watakacho kifanya ni kushambulia normal flora wa pale then kuna uwezekano mkubwa wa...
Kwa Ishu ya kupima kwake, siku hiz kuna vitu vimekuwa upadated ni lazima upime mara mbili atakupima daktari kwake pia lazima ukapima maabara then wana chek majibu yote mawili hii ni kujiridhisha zaidi kwa majibu ya vipimo but kwa inshu ya kukushauli upime huenda kuna vitu alivi observ kwa wife...
Daaa mapenzi Jeneza, kaka uliza kwanza angalau upate ufafanuzi waki hata kama wa kujitapa tapa, kwa siku hizi hakina mwaminifu wa kiwango unacho kihitaji si kwa mwanaume wala mwanamke! ni kuishi kwa akili 2, pia mshukuru mungu kwa kukufinulia hilo ili ukae ukijua aina ya mwamke unaenda kumuoa
Mama anaweza akawa anakamua maziwa ndo mtoto akawa anatumia wakati yy anaendelea na majukumu yake kama atayatuza katika joto la kawaida yanauwezo wa kukaa 24hrs na kama atayahifadhi kwenye friji yatakaa 72hrs so ni safe kufanya hivi kuliko maziwa ya kopo ingawa lactagen 1 na S6 yana sifa zote...
bro ni mkeo wa ndoa au mnaishi kisela tu, kama ni mkeo wa ndoa omba msaada wa mawazo kwa watu unaohisi watakuwa msaada kwako, jikaze mtoto wa kiume kwani mapenzi jeneza
Kaka piga chini, anakujibu kiburi kwani anacheza na udhaifu wako anajua huwez kupiga chini sasa ni kheri uchukue tahadhali mapema usije ukali zaidi ya hapo
Ka mkubwa pole kwanza naomba uelewe tu hiyo ni changamoto kwako na sio wa kwanza kukumbana na changamoto kama hiyo NB: Don't trust the woman even if she die, Jipange kisaikolojia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.