Umenipa nasaha nzuri sana mkuu.Sure mkuuu ,,ujue nmeongea KWA hisia sana man .
Kikubwa nikuombe chukua hatua kama mwanamme ,yaan uchukue hatua km mwanamme .USITHUBUTU KURUHUSU MWANAMKE AKUUMIZE ...SIKIA ,,NAKUA BABU YANGU KILA NILIPOKUA NAONGEA NAYE ALIKUA ANANISISITIZA ,,MJUKUU WANGU ,, USIJE RUHUSI MWANAMKE AKUUMIZE MAANA MAUMIVU YAKE YANADHOOFISHA KIUCHUMI ,KIAFYA NAKIJAMII* .
naiyo ndio sheria yangu ktk mahusiano.[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Na Mimi nina tatizo kama hilo, naomba nikutafute MkuuAcheni kuchunguza Vifo visivyo vya lazima mate utayameza utake usitake
pole sana kashachimbwa bwawa muda si mrefu utaanza kuogelea na kuitwa kibamia, ikifikia hivyo nitafute mkuu
Pambana na kibamia chakoNa Mimi nina tatizo kama hilo, naomba nikutafute Mkuu
Nimekua nae kwenye migogoro muda mrefu. Wakat ule aliondoka akarudi na nilitagta maksudi kutafta mke, na kweli akarudi.Huyu ndo uliyempatia humu ama ulikuwa unatafuta wa pili?
Safari za Sindbad baharia, alfu lela ulela, mashimo ya mfalme suleiman....Mbona husemi meseji uliifanyaje au ulifanya nini baada ya kuisoma
Ukiwa muongoMeseji inasema:
"...hapana mama, sio kubwa mbona, ni wewe tu una uch* mdogo. Lakini naona unaizoea taratibu".
Iko hivi...
Nipo kwenye mgogoro na wife na hatusemezani wala hatushiriki tendo la ndoa wiki ya tatu sasa. Jana aliondoka asubuhi kama kawaida akaenda ofisini kwake, anafanya kazi kwenye kampuni ya soda. Alichelewa kurudi kupita siku zote na bila kunitaarifu.
Kwa kawaida hua anasimu 2, moja yake binafsi nyingine alinunuliwa na kampuni na anaitumia kwa mawasiliano ya kikazi tu. Hii ya ofisi mara ni nokia tochi tu na hua mara nyingi anaizima akiwa home usiku, jana kasahau kuizima kumbe ndo anakoficha madudu yake huko.
Hii simu hua sipekui kabisa kama ile simu kubwa kwakua hua naamini inamambo ya kiofisi na mawasiliano ya humo yaweza kua siri. Sasa jana alipoenda kuoga nimefuma meseji hoyo kwenye kale kasimu, meseji imetoka kwa gudume flani jina kasevu "Boloyank".
Sijamuuliza kitu mpaka sasa. Nakufa mwenzenu! Ninahasira hadi nashindwa kuongea wala kumeza mate. Nahisi kufa na wahusika wa kifo changu ni wife na Boloyank.
NYONGEZA
================
*M-Pesa jamaa anaonekana jina lake kamili ni BONI MANYANKI
*simu nipo nayo mpaka sasa
*nimemchek whatsapp dp nimescreenshot ninayo picha yake but sjui kama sheria JF inaruhusu nipandishe hapa
*wife kaniambia harudi home nifanye nitakalo
Boloyank noumaaaBoloyank haha