Tuwapongeze Wabunge hawa wa CCM wampa makavu Waziri wa Fedha. Ndassa asema Waziri huwa ana kiburi na si msikivu

Wabunge kama hao ndiyo wanafaa kupewa Uwaziri na si hao wengine mizigo,lakini kwa Ccm wanaangalia sifa ya unafik,kujipendekeza na kuwa tayar kufanya kaz bila kuhoji au kutopokea ushaur.Ukwel lazima usemwe hali ya uchumi ni mbaya, lakini wapuuzi wachache hawalijui hilo na kubaki wanasema wapiga dili ndiyo hawana hela kwa sasa,hii ni akil kweli jamani,na wahanga wa kuendelea kushuka kwa uchumi ni Watu wa chini,sasa tunajiuliza(wenye akil) hawa Watu wa chini walikuwa wanapiga madili gani?
 
Binafsi nawapongeza sana Bashe na Seru nani sijui, hawa jamaa wamesema mambo ambayo hata kama hujawahi kuingia darasani unapata kuona hali ya ukakasi mwingi, napenda sana kazi za Magu na Serikali yake lkn ni vyema wanayosema wakosoaji kama yana tija kwa Taifa yafanyiwe kazi haraka maana hali huko mtaani siyo nzuri, siye wenye kipato cha wastan tunakabwa sana na jamaa zetu ambao hapo zaman walilia shida kwa mambo makubwa tu lkn sasa hata chumvi kununua hawawezi
 
Nusu ya wabunge wangekuwa wako hivi tungekuwa mbali. Shida wabunge wengi wa CCM wanafiki
 
Hao wabunge wametumwa, hawana cha maana zaidi ya unafiki, eti wanajidai kusema eti rais kakosa wasaidizi, unajua huo unafiki wa hao wabunge serikali inaujua na ndiyo maana haiwezi kuteteleka, itatekeleza sera zenye tija kwa maendeleo ya watanzania na siyo kupenyeza ajenda za kufaidisha mafisadi na wezi.

Sekta binafisi kwa sehemu kubwa ilitawaliwa na uchumi hewa, kilikuwa kichaka cha kuibia serikali
 
Sawa Bashite akili zako zinakutosha mwenyewe.
 
Hali mtaani ngumu wao kutwa wanashangilia wamewakomoa wapiga dili.

Basi wawaangamize hao Wapiga dili na sisi Wauza Samaki na Mihogo tubaki hai?
 
Ila kina jingalao wakija hapa watasema hao wabunge sio wazalendo, wametumwa na wazungu
Basi tuseme hao ndio wazalendo, umefurahia?
Hata kama umefurahia, tunatokaje hapo tulipo? Au mnaridhika mlivyokuwa mnatanua mitaani na mihela lakini nchi kubwa haina cha kujivunia kwenye miundombinu - hakuna highway ya maana nchi nzima, flyovers, viwanja vya ndege vya grade ya mwisho, bandari za miaka ya ukoloni, reli za mwaka 1905-1914 (TRL) na ile ya 1970s (TAZARA). Hakuna meli mpya za maana, huku wengine wakitumia meli ya Mjerumani.
Mlilalamika elimu kushuka kutokana na miundombinu mibovu, Leo mmesahau. Mlilalamikia maskendo ya rushwa serikalini, Leo ndio mnawasapoti wezi.
Udhaifu wako unataka kuusingia kwa mwenzako.
 
Kwani tangu Magu ameingia mbona ela hakuna na hakuna cha kujivunia hata kimoja. Kama miundombinu yote aliyozindua ilikua ni ya tokea awamu ya nne kuanzia mwendokasi,Kigamboni bridge, SGR, nk. Embu nitajie muundombinu aliouzindua wa kwake hata mmoja ukitoa ile barabara ya Morocco-Mwenge. Labda hizo ndege ambazo mpaka leo hatujui zinatengeneza faida kiasi gan.Viwanda karibu vyote vilikua vishaanza kazi tangu serikali iliyopita.Hata hicho cha Dangote ni matunda ya serikali iliyopita, hata hicho cha Sayona alichozindua juzi kilikua kishaanza kazi tangu 2014.
Hyo elimu unayosema imeimarika kwa miundombinu elimu ipi, hii hii ya watoto kusomea kwenye nyumba za udongo huku shule ikiwa na mwalimu mmoja halafu ela zinaenda kujenga airport Chato. Elimu bure imekua majangaaaa, jaribu kutembelea kwenye mashule waulize waalimu watakwambia.
Eti skendo za rushwa serikalini, kwani ile ya mnyeti ilikua ni nini ile au zawadi?!. Tena kwa jinsi Fenti Ford alivyokosa aibu aakamua kumpandisha cheo kabisa. Na vp unazungumziaje Bashite kutumia mali(magari tena ya kifahari) za wauza unga?!
Kwani ile mahakama ya mafisadi mpaka leo imemfunga nani?!
 
Back
Top Bottom